Naomba kifudusi cha salama....dah imetulia aisee! Kiswahili kizuri sana
What is the etymology of neno "kifudusi"
Hahahahaha, hapo The Boss anaweza kumwambia mwenzie na dada akabaki Kumshangaa tu (like: WTF is he talking about???)Kufududua kwa kifudusi. Kiswahili kinazidi kuwa kigumu!
RR umeona eeeh?Hahahahaha, hapo The Boss anaweza kumwambia mwenzie na dada akabaki Kumshangaa tu (like: WTF is he talking about???)
Sijui yuko wapi. Nadhani yuko eneo wasipo ongea kizungu, na maybe huko alipo 'condom' ni matusi. so anataka kujifunza misamiati mipya. lolestRR umeona eeeh?
wanaharibu maana wanakaa kama kamati na kutafuta neno la kiswahili badala ya kuacha lugha ijipanue yenyewe-mbona tunatumia maneno ya kiarab,kireno n.klivipi labda?