condom.......kwa kiswahili.....

Kule kwetu condom inaitwa KIFANYIO.......................
 
kifudusi?kufudua sijui,kiswahili kigumu kweli kweli
 

Naenda dukani nasema nataka mpira...wa kiume/kike
 
Kuna vitu vingi sana havina kiswahili....
mi huwa naiita NDOKUDOM
 
Nasikia (nasisitiza kusema kuwa NIMESIKIA) kuwa jamaa zetu Wahaya wanaziita KIFANYIO. Na kuna kipindi walikuwa wanazifua baada ya kuzitumia. (Kwa hiyo haikuwa ajabu kusikia kauli kama hii: "Jirani, niazime kifwanyio, cha kwangu nimekifua hakijakauka")
 


Ngoja Bishanga aje atupe ushuhuda!!

Haya mambo ya ku-reuse condoms yameripotiwa sehemu nyingi tu za Tanzania na si Bukoba peke yake....

Hata hivyo kama watu wana-reuse basi hata kuazimana inawezekana!!

Babu DC!!
 
Ngoja Bishanga aje atupe ushuhuda!!

Haya mambo ya ku-reuse condoms yameripotiwa sehemu nyingi tu za Tanzania na si Bukoba peke yake....

Hata hivyo kama watu wana-reuse basi hata kuazimana inawezekana!!

Babu DC!!

Wewe unanitafutia matatizo mwenzio!
 
hahahhahhaahahahhahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... KIFUDUSI.......aiseee nimecheka hadi nikabanwa na mkojo.....bora tutumie Condom tu italeta maana Kifudusi kwa wezetu Mwanza wataita KIFUDI ( kijambo) na wenzetu wa A town machaliii wataita KIKUNDUSI si muda mrefu halafu ipoteze umaana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…