condom.......kwa kiswahili.....

kutafuta wao wenyewe kivipi maneno mbadala mbona yapo ila kinachotusumbua ni ile hali ya sisi kutaka vya urahisi tu na sio kufikiria wala kutafuta kwani unafikiri hayo maneno mengine yalishushwa kama mvua hayakutungwa na watu hakuna neno gumu kadri ulitumiavyo ndivyo linavyokuwa jepesi
 
ikiwa tutakopa kila neno jipya, basi kiswahili kitapoteza usanifu wake kwa vile kitakuwa na msamiati asilia finyu kabisa. Ni vema kuunda istilahi kwa kila dhana mpya ifikapo. tusiwe omba omba. Kati ya Kifudusi na shakoshi, ni lipi bora zaidi?
 
Kifudushi linatamkika kwa urahisi. Hata ukienda dukani huoni aibu kuagiza,kifudushi. Lakini unafikiria mara tatu kabla huja sema tafadhali niuzie condom.
 
okey, okey! wote mmekosa, condom=puto.
watoto wanaita maputo ya wakubwa.
 
nimekaa nasubiri hitimisho lenu ila silioni sasa nitumie lipi sasa kifudusi au mpira wa kiume jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…