Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Mm! Maelezo zaidi tafadhali..
kwa kweli ni gumu kidogo kuamini... labda ulete maelezo kwanza.
halafu haya si ni kwa wale wanao jijua na kujitunza tayari?
wengi hawajui status yao na hawako under arv
kwa kweli ni gumu kidogo kuamini... labda ulete maelezo kwanza.
halafu haya si ni kwa wale wanao jijua na kujitunza tayari?
wengi hawajui status yao na hawako under arv
Mwali hata mimi sijaelewa ujue..kwa hio wanashauri watu wanywe arvs as an alternative ya condoms au nini?
C walisemaga kama haunaga ngoma uctumiage ARV hatari kwa afya yako kulikoni leo?
kwa kweli ni gumu kidogo kuamini... labda ulete maelezo kwanza.
halafu haya si ni kwa wale wanao jijua na kujitunza tayari?
wengi hawajui status yao na hawako under arv
nakutakia kuambukizwa kwema mleta mada......
Maana ukifuatisha tu, itakula kwako!
mbadili tabia me nimeleta news mjadili haha ni tafiti za wenzetu ulaya bwana mpaka tbs ya bongo itamke japo me binafsi not into those stafffffffffffffs
Kuna siku mtakuja kutuambia tumeze kondomuyani wamegundua kutokana na tafiti zao kwamba kwa mtu aliyena virus na anatumia ARV anapokutan kimwili na mtu asiye na maambukizi si lazima kutumia kondomu wanaweza jamiiana bila kuambukizana. umensoma. kwahiyo arv unaweza tumia ka kinga unameza unaenda play game.
swali ni kwamba hawa nani atakuwa mjasiriiu