Condom zaidi ya mara moja inawezekana?

Kunguru Mweusi

New Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Jaman mimi ninashida jins ya kutumia kondomu kwa usahihi, eti unaweza ukapiga bao zaid ya moja kwenye kondomu moja? kwan nimeona kwenye maelezo ya namna ya kutumia kondomu kwenye pakiti halijaandikwa hili jambo. Naomben mawazo yenu jaman.
 
Jaribu tu uone kama inawezekana kwani bila kujaribu huwezi jua.
 
Jaman mimi ninashida jins ya kutumia kondomu kwa usahihi, eti unaweza ukapiga bao zaid ya moja kwenye kondomu moja? kwan nimeona kwenye maelezo ya namna ya kutumia kondomu kwenye pakiti halijaandikwa hili jambo. Naomben mawazo yenu jaman.

Shiga shinde unefwa haya we endelea du
 
kwenye pakiti si kuna namba za huduma kwa wateja. wapigie waambie we mteja wao unahitaji maelezo kuhusu hiyo bidhaa yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…