Kunguru Mweusi
New Member
- Feb 22, 2013
- 4
- 0
Jaman mimi ninashida jins ya kutumia kondomu kwa usahihi, eti unaweza ukapiga bao zaid ya moja kwenye kondomu moja? kwan nimeona kwenye maelezo ya namna ya kutumia kondomu kwenye pakiti halijaandikwa hili jambo. Naomben mawazo yenu jaman.