Condom zilizoingizwa nchini Hazifai Kukinga ukimwi

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
kuna taarifa za kusikitisha kwa watumiaji condom'condom zote zilizoingizwa chini ya kampuni ya katibu mkuu wizara ya afya na mganga mkuu hazifai kwa kuwa zina matundu makubwa mno na zipo chini ya kiwango virusi vya ukimwi vinapenya bila tatizo lolote'vile vile condom nyingi ni ndogo mno zimetengezwa kwa watu wenye machine ndogo kama wakorea na wachina'lakini zililetwa kwetu kwa sababu ya ufisadi wa huyu mama na mganga mkuu!
'ina maana watanzania tutakufa kwa wingi sana kutokana na tamaa za hawa viongozi waliopewa hili jukumu''ee mwenyenzi mungu tunusuru na hili
 

ACHA KUPOTOSHA UMMA NA HUO WEHU WAKO!!
Moderator hebu ipigeni ban hii thread ya huyu mtu! INAPOTOSHA.
 
Huo ni upotoshaji wa wazi,watu wangapi wangeshakufa kutokana na hili kama lina ukweli?Kama huna cha kuandika,ni bora ukaandika hata verse kama wenzio wa form four!
 
ACHA KUPOTOSHA UMMA NA HUO WEHU WAKO!!
Moderator hebu ipigeni ban hii thread ya huyu mtu! INAPOTOSHA.

Acha ubishi''taarifa zimetoka jikoni kwa wanaopeleleza hii issue'acha kutoa povu subiri taarifa rasmi inakuja
 
Hakuna kondom iliyo salama 100% duniani.

[h=5]Will a condom guarantee I won't get a sexually transmitted disease?[/h]No. There's no absolute guarantee even when you use a condom. But most experts believe that the risk of getting HIV/AIDS and other sexually transmitted diseases can be greatly reduced if a condom is used properly.
In other words, sex with condoms isn't totally "safe sex," but it is "less risky" sex.



Condoms and Sexually Transmitted Diseases, Brochure
 
this is a serious accusation u better have some serious evidence.take note of dat
 
Jamaa aliagiza vifaa vya kupima ukimwi au condomu?
 

"miafrika ndivyo tulivyo" NYANINGABU
 

Kwani kuna watu bado wanatumia condom?
 
kama aliweza kuagiza vifaa feki vya kupimia ukimwi atashindwaje kwa condom?
 
zungumzieni vyandarua vyenye matundu makubwa mbu wanapita watakavyo. Na vinatengenezwa arusha, halafu eti navyo vina nembo ya tbs!
 

Kuna brands nyingi sana za condom. Rough Riders nazo zimo kwenye hizo unazoelezea?
 
watakomaje??tukiwaambia dumu na mpenzi mmoja mnatuona "mapopompo" sasa kazi kwenu!kudadadeki.kuna jamaa mmoja hivi yeye alikuwa anaona condoms ndio kimbilio lake asijue zina matundu.mimi mwenyewe ningekuwa na kiwanda ningetengeneza zenye matundu.maskini yule jamaa loh!atakuwa amepata ukimwi!
R.I.P MR..........!
 

Inaonyesha ni mtu wako wa karibu labda alisha ku pm na ngoma
 
zungumzieni vyandarua vyenye matundu makubwa mbu wanapita watakavyo. Na vinatengenezwa arusha, halafu eti navyo vina nembo ya tbs!

ah ha ha haha umenichekesha sn kwakweli,sijabahatika kuviona hivyo vyandarua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…