rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,420
kuna taarifa za kusikitisha kwa watumiaji condom'condom zote zilizoingizwa chini ya kampuni ya katibu mkuu wizara ya afya na mganga mkuu hazifai kwa kuwa zina matundu makubwa mno na zipo chini ya kiwango virusi vya ukimwi vinapenya bila tatizo lolote'vile vile condom nyingi ni ndogo mno zimetengezwa kwa watu wenye machine ndogo kama wakorea na wachina'lakini zililetwa kwetu kwa sababu ya ufisadi wa huyu mama na mganga mkuu!
'ina maana watanzania tutakufa kwa wingi sana kutokana na tamaa za hawa viongozi waliopewa hili jukumu''ee mwenyenzi mungu tunusuru na hili
'ina maana watanzania tutakufa kwa wingi sana kutokana na tamaa za hawa viongozi waliopewa hili jukumu''ee mwenyenzi mungu tunusuru na hili