Kweli kbsa The Boss,sema anavipenda but anatudanganya huyu muashetati.Kuna vitu kama kweli unavijutia hata kuvizungumza tu huwezi
Mkuu ni mtihani mzito sana, Mimi mwenyewe kuna mama mke wa mtu ananisumbua sana kils siku anang'ang'ania kuja kwangu na akinipigia anamponda sana mme wake licha ya kumzalisha watoto watatu. Leo tu katuma meseji na kanipigia mara kibao namchimba biti lakini wapi. Hapa na mpango nibadilishe namba.Uzi huu naona wa walio-oa wakatembea na wake za watu ama walioolewa wakaembea na waume za watu. Sasa kwa ambao bado naona si wengi maana kutembea na mke wa mtu wakati mabinti wabichi wa kutosha mtaani kunahitaji moyo. Hivi wanaume huwa hamuogopi kutembea na wake za watu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Dont allow your wife to tell another man her problem ...because the shoulder to cry on can became a dick to ride on
NB: kizungu kilikuja na meli
Piga mechi za ugenini wewe uone raha ya mabao yake yanavyosisimuaSijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
Pitia vizuri matukio. Wengi waliobakwa ni wanaume!Yeah,matukio ya Ubakaj yapo humu,ila pia huenda akina dada wanaona aibu ila ndo wamebakwa sana
Mkuu mbona hutoi ushuhuda.Mwenyezi mungu atunusuru...
Nimekubaliana na hoja hiyo,ila pia huenda females wanaogopa Kufunguka tuPitia vizuri matukio. Wengi waliobakwa ni wanaume!
Hongera na Mungu akupe ujasiri huo mileleSijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
C unajua lkn wanachofanyiwa wenzako wanapokamatwa na wake za watu..... We jiandae na ww kupakatwaMimi binafsi nimecheat na wake za watu wawili! mmoja nipo nae hadi sasa hivi, nimegundua tatizo kubwa linalofanya wake za watu kutoka nje ya ndoa ni kutafuta upendo na dozi ya kibabe katika mapenzi, wanawake wote niliotembea nao wanalalamika kuwa waume zao hawawapi mapenzi mubashara na wala hawawajali kabisa katika suala zima la upendo, utakuta jamaa anarudi kazini lakini hana time na mke wake eti ya kuwa amechoka na kazi au sometimes mtu anajifanya yupo busy sana hata kumbembeleza mke wake inakuwa tatizo, wengine wanawakalipia wake zao....."Acha tu tuwagongee"
Mkuu malalamiko yapo,na sababu ni nyingi mno,ukiangalia kwa makini utagundua wanawake wanasema wanaume ndio chanzo,na wanaume wanasema wanawake ndio chanzo,ni mwendo wa lawama na kukomoana,ukiacha tamaa ya mwili na fedha,marafiki na baadhi ya ndugu wanachangia mno...pia mazingira ya kikazi na pia tabia husika ya mtu ni vitu vinavyotajwa mno,ni kwamba kwa familia ya leo,katika kila famila 10 labda ni moja tu au hamna kabisa ambayo mtu hachepuki,na hii inachangiwa na maendeleo ya technolojia yanayokua kwa kasi mno,na pia kupungua kwa maadili na kupungua kwa upendo kwenye nyumba zetu...ukiwa na hela,uwe mwanamke au mwanaume,ni ngumu mno kumkosa unaemtaka,hata awe mke au mume wa kiongozi wa dini,cha msingi dau lako lifike pale pale anapopataka.....