Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Nilikutana nae barabarani akaniomba nimsindikize kwa mangi maana ilikuwa usiku, tukawa tunatembea wote kuelekea kwa mangi. Akanunua sukari nikatembea nae mpaka kwake, tukaagana mimi nikarudi kwangu.

Does that count??? Au sijaelewa mada
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀, dah, mkuu, wewe ni hatari asee
 
Ukisoma hizi post utagundua wanawake wanaume vijana walisex bila kuwa na mipango ya muda mrefu. But wanawake wamesex kwa mipango thabit. Cha kushangaza vijana wa kiume wanajiona wajanja kumbe wao ndio walibakwa
 
Eti unafungiwa na mke wa mtu na unakubali kukulana tena nyumbani kwake!!!
Hili halitakaa litikee, siwezi kufanya ngono zembe kiasi hiki.
Lazima uwe na self control sio kuongozwa na hisia.
 
Ukisoma hizi post utagundua wanawake wanaume vijana walisex bila kuwa na mipango ya muda mrefu. But wanawake wamesex kwa mipango thabit. Cha kushangaza vijana wa kiume wanajiona wajanja kumbe wao ndio walibakwa
Yeah,matukio ya Ubakaj yapo humu,ila pia huenda akina dada wanaona aibu ila ndo wamebakwa sana
 
Uzi huu naona wa walio-oa wakatembea na wake za watu ama walioolewa wakaembea na waume za watu. Sasa kwa ambao bado naona si wengi maana kutembea na mke wa mtu wakati mabinti wabichi wa kutosha mtaani kunahitaji moyo. Hivi wanaume huwa hamuogopi kutembea na wake za watu?
 
Nimeshafanya hivyo mara mbili ila nilijitahidi kujizuia saana lakini hawa wanawake walikuwa ibilisi kwa mitego ile na ushawishi na text za mapnz mwanaume yeyote hawez kuchomoka.
Ila nmeweka nadhiri sitaki tena tabia ile na nmeshatubu na kumlilia Muumba Wang anisamehe
 
Yani huwa nakaa chini nstathimni maisha yangu nahisi kat ya makosa makubwa yanayonisumbua akili niliofanya ni hili.

Halielezeki kirahisi sana maana utan utani tu unajikuta uko katkat ya dimbwi la love na mke wa mtu.

Kutoka inakuwa ngumu sana maana wengne na watoto mshazaaa dah aysee ningumu kweli kuelezea.

Ngja nikae kkmya kwanzs
 
Back
Top Bottom