FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
🙁🙁🙁🙁🙁🙁Ngoja nile Chakula kwanza nakuja toa Confession ya kutembea na Wake za Watu zaidi ya Watatu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙁🙁🙁🙁🙁🙁Ngoja nile Chakula kwanza nakuja toa Confession ya kutembea na Wake za Watu zaidi ya Watatu....
Tia neno hata moja!🙁🙁🙁🙁🙁🙁
OMG..Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...
Ni kitu ambacho najuta Maishani sana, Sema ilikuwa ujana, Nikifikiria huwa nakata tamaa sana, Hata leo nikipata tukio baya huwa naconclude ni uchafu wangu wa nyuma that's hope I haveKuna watu wanastahili kunyongwa hadharani.
Ikiwa baba/mume akagundua mwanae na mkewe wanachukuliwa na mtu mmoja, yaani hata kukuchinja ataona haitoshi
Ndo maana ya confession mkuu...Mungu aniepushe na haya mambo kwa kweli na nafeel pinch hadi leo...OMG..
Hii kalii
Exactly mkuu, hata umri wake na wa kwangu ni quite different. Na zaidi sana kuna wakati nilikuwa namkwepa akawa ananipata kwa kunipa hela naenda nampiga dushe weeeee hadi ananambia basi sasa - kama unanikomoa! Kuhusu mumewe ni majanga matupu, safari nyingi nje ya nchi na kwa maelezo yake hata akirudi nyumbani ni mzigo hoi goigoiUlibakwa mkuu,
.
Yaani mkuu mambo mengine unakaa unafikiri unashindwa kuelewaDa hapo coursework ilikuwaje si mwendo mdundo??
Yaani mkuu mambo mengine unakaa unafikiri unashindwa kuelewaDa hapo coursework ilikuwaje si mwendo mdundo??
Sijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
Kwa mwandiko wako tu inadhihirisha kweli bado level yako ni ya kidatonkiwa kdato cha nne 2010 kuna mwalm alkua ananiamin sana, alkua anan2ma sehem mbal2, alnichukulia kama mwanae japo hakuwa mkubwa kiumr. mkewe alianza kunieleza matatzo ya ticha na kuniomba nmwambie tcha aache k2 ambacho naamin hamna ambae angeweza hapa jf, cku 1 2lienda shamba kuvuna mahnd mim tcha na mkewe, tcha akaitwa gafla na hedmasta akatuacha. mkewe akasema leo n leo tukmalza nakupa zawad na akanpa uko uko shamban. nsameh mung, nsameh mwalim wangu
Unaitolea wapi kondom ktk hali kama hiyo mkuu, hutarajii, hujui lolote, huna wazo yaani ni mapichapicha tu. Kwakuwa mt* mbano uliendelea baadaye tulipima na kwa bahati tulikuwa vizuri vinginevyo ningekuwa marehemu sasaUlikuwa na kondom?
Exactly mkuu, hata umri wake na wa kwangu ni quite different. Na zaidi sana kuna wakati nilikuwa namkwepa akawa ananipata kwa kunipa hela naenda nampiga dushe weeeee hadi ananambia basi sasa - kama unanikomoa! Kuhusu mumewe ni majanga matupu, safari nyingi nje ya nchi na kwa maelezo yake hata akirudi nyumbani ni mzigo hoi goigoi
Acha ufala huo, usiji proud kutembea na wake za watu ndugu yangu. Kwani wanawake wameisha ambao hawajaolewa?Mimi binafsi nimecheat na wake za watu wawili! mmoja nipo nae hadi sasa hivi, nimegundua tatizo kubwa linalofanya wake za watu kutoka nje ya ndoa ni kutafuta upendo na dozi ya kibabe katika mapenzi, wanawake wote niliotembea nao wanalalamika kuwa waume zao hawawapi mapenzi mubashara na wala hawawajali kabisa katika suala zima la upendo, utakuta jamaa anarudi kazini lakini hana time na mke wake eti ya kuwa amechoka na kazi au sometimes mtu anajifanya yupo busy sana hata kumbembeleza mke wake inakuwa tatizo, wengine wanawakalipia wake zao....."Acha tu tuwagongee"
Kwahiyo hujui kama alitoa mimba au alijifungua salama?Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...