Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Mkuu naona unajitekenya alafu unacheka mwenyewe. Yani unacomment na ID moja then unakuja kujijibu na ID nyingine.

Mbona unajitesa kijana.
Ngoja wenye wake zao waanze kuzungukia kesho wanyama Hotel
 
Mmenikumbusha engineer wangu pale mbeya (RIP), alikuwa ananipa hela ya maana miaka ile;
Miaka hii nipo na dogo mmoja mume wa mtu, tulikokutana najuwa mwenyewe.
Masasi?
 
Weee niko poa sana
Mzee umemuongelea shuga mami hatar,haya mambo haya hayatak hasira,Mungu anatulinda na mengi sana hasa haya Ma UKIMWI haya.Fikiria ana mume then akauja kwako hadi saa 6
 
Kila la kheri...usisahau kunipa mrejesho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu vip huyo maza unawasiliana nae
 
sasa hivi umefungua wapi hiyo biashara? we ngoja...
 
aaaah...huo ushuhuda umenipandisha ashiki..hivi ulifaidi kuvimega viuno vya lidada lenye makalio ya haja!
 
Wakati mwingine unawesa kusema ili upate nafuu ndani yako kutokana na majuto unayopitia....

But you have a poit though....
Kuna jambo nilifanya wakati wa ujana wangu kusema ukweli huwa sipendi akili yangu iliwaze maaan huwa moyo wangu unauma sana kwa majuto.

Na nimekuja gundua kwamba wanawake walio katika ndoa ndio wanajipeleka kwa vijana wa kiume kukiko vijana kwatafuta hao vijana.

Mini ni mmoja kati ya vijana wa zamani niliokumbwa na mikasa hiyo.

Yarabi nisamehe mja wako yakafutwe matendi yangu maovu ya siku za ujana wangu maana we ni mwingi wa rehema
"Ujana ni nusu ya uwendaazimu'

 
Reactions: SDG
HILI NIJANGA LA NDOA.
Kwa kiasi kikubwa mno ama kwa asilimia 100% kubwa hili ni janga kwa wanandoa
Upendo unapotoweka na Na mazoea yakajengeka kati ya mme/mke basi hapo mmoja wapo lazima ataleta tabia tofauti ndipo mahusiano ya nje ya ndoa yanapoanza sasa hapo utasikia yule mpangaji ana mahusiano na mke /mme wa fulani.
 
Kweli kabisa,inatokea vinakuja kichwan japo hupend kukumbuka.Mie had leo namkwepa mke wa mtu,akinipigia uko wapi?Namwambia sipo home,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…