Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Mkuu ni mtihani mzito sana, Mimi mwenyewe kuna mama mke wa mtu ananisumbua sana kils siku anang'ang'ania kuja kwangu na akinipigia anamponda sana mme wake licha ya kumzalisha watoto watatu. Leo tu katuma meseji na kanipigia mara kibao namchimba biti lakini wapi. Hapa na mpango nibadilishe namba.
Pole mkuu, ila jaribu kushinda vishawishi hivyo. Usije kutembea na mke wa mtu kamwe hiyo ni laana
 
Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...
Every step u make have consequences, kuvuja laini that was a cowardly move..
 
Nikiwa mwalimu shule moja za kata pwani tulifanikiwa kupata nyumba ya shule ambayo ilijengwa kwa ajili ya mkuu wa shule
Lakini h/master hakutaka kukaa hapo
Ni kwa mantiki hiyo tukiwa vijana watatu wa ualimu wa vodafaster tulipewa nyumba hiyo ambayo ilikuwa jirani sana na majirani zetu(wazaramo)
Kati ya hao majirani zetu kulikuwa na dada mmoja wa kirangi ameolewa na bwana mmoja hapo
Huyu jamaa alikuwa hakai hapo hivyo mkewe alikuwa anaishi na wakwe zake hapo
Dada huyu alianza uchokozi mwenyewe mala nikope hela mala nikitembelewa na girlfriend wangu anafanya visa anamwamkia shikamoo dada wakati demu wangu alikuwa mdogo sana kiumri kuliko yeye ambaye tayali alikuwa na watoto watatu
Nikipita ananitolea mimacho
Basi siku moja nikiwa chumbani akaja kupaa moto nikamwambia chukua tu hapo jikoni mi nasahihisha mitihani ya wanangu
Akainama uwiii mtoto anakalio la haja nikamchombeza mmeo anafaidi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Gafla nikamsogelea akageuka akiwa anatabasamu nilapapasa kalio akanishika kwenye flaizi ya suruali yangu nikaangalia kushoto kulia walimu wenzangu hawapo fasta nikampatisha sketi juu nikatelemsha pichu alichonijibu tu ni kwamba fanya upesi niende nikapike
Uwiii kilichofuata ni shooo safi ambayo sijapata kuona
HUO NDO USHUHUDA WANGU
Ah! Warangiiiiiiiii heshima kwenu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna watu wanastahili kunyongwa hadharani.
Ikiwa baba/mume akagundua mwanae na mkewe wanachukuliwa na mtu mmoja, yaani hata kukuchinja ataona haitoshi
Mkuu yupo mmoja katembea na bibi,mwanae na wajukuu wawili wa huyo mama, unajua uswahilini wanawake wengine kwa kutojua wanasimulia "jamaa fulani" anaimudu kweli shughuli yaaani ukimwangalia hafanani na ujuzi wake wa kumiliki "mechi"...sasa akina mama/ dada wakiskia hivyo wanatamani nao kuoja huo ufundi..na hapo ukute jamaa senti zipo zipo ndio kabisaaaa....
 
Mimi bwana kulikuwa na demu mmoja mnyamwezi wa Urambo, sikujua kama ana mme, nikamshobokea sijamtogoza, ila akatokea kuni mind, baadae akaniambia kuwa ameolewa na askari mmoja hivi, alikuwa ananivizia night njiani nikiwa narudi kwenye mishe zangu na kunikumbatia, kunipa escort na kunipiga ma kiss, siku moja mme wake aliumwa mguu akalazwa hospitali basi ndo ikawa chance yake kuja kwangu, nilimvalia condomu mbili ili kumkaza kwa kuwa sikupenda vile alivyomfanyia mumewe, nili mfuck roughly ili kumkomoa asinirudie tena, na kweli hicho ndicho kilichotokea hadi leo hanitaki, hata nikimjaribu kumtongoza tena. Baada ya kumpeleleza kwa nini umekuja kwangu wakati una mume akaniambia kuwa eti na mume wake ana toka na wasichana wengine hivyo na yeye analipa kisasi, nikamuona huyu demu pumbavu yaani mi ndo kaniona sehemu ya kulipiza kisasi...
 
Every step u make have consequences, kuvuja laini that was a cowardly move..
Ooow....was that so?? Okay why cant you take a partriotic measure on her if you care that much?? If i was a coward then you are an opposite of my side ..take her if you care to that extent.
 
Bora hiyo Haya Maisha unaweza tembea na Mke na watoto wake, kuna siku niliandaliwa birthday na kademu, Ngoma sijakaa sawa naona Mke wa mtu anaingia na zawadi ambaye Nilikuwa natoka nae kumbe ni Mama wa Yule demu wangu ,Mambo ya makiss na mabusu demu akauliza unamjua nikisema ni Rafiki tu, Baadae kilichotokea niliamua kuendelea na Mama mtu
Sasa simulizi gani unapofikia patamu unakwepesha na kupaziba? ilikuwakuwaje hadi ukaendelea na mamamtu badala ya mtoto mtu? Hiyo ndiyo hadithi.
 
Hii story nzuri sana tafadhali tuletee
 
Umenifanya nmedindisha...
Kuna mke wa mpangaji mwenzangu hapa, ni mama mkubwa ananizidi miaka kama 22 hivi....
Eti huwa anasema "tafuta sehemu tupige story ila tofauti na humo kwako"

Jamani huyu si anataka nimkamue huyu?? Kesho kutwa (Public holiday) lazima nimgonge..
Wanyama Hotel inahusika sana...
Hahaha usirembe
 
Mimi ilinitokea mwaka 2006 nimeanza kazi ya ualimu manispaa moja hivi,yaan hiyo nyumba niliyofikia kulikuwa na wapangaji kibao aisee mimi nikapata chumba kimoja cha uani.Basi wanawake kibao wakawa wananitolea macho aisee kuna mama mmoja alikuwa Mkubwa zaidi yangu kama miaka 20 hivi huyu ndo nilimkwangua alinivutia kweli maana alikuwa mzuri zaidi ya wengine ila sasa mme wake alikuwa mkorofi balaa
Sasa ilikuwaje hadi ikapelekea kumkwangua
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...
Duh
 
Afu kingine nilichogundua hadi aachike ni kuwa hata mtoto aliyenaye sio wake maana jamaa hakua na uwezo wa kumzalisha na ndo maana baada ya kuzaa huyo mtoto jamaa alikataa kuduu naye kwa miezi zaid ya miwili ndo nyege zikamshinda ikabidi anitafute..bt nafsini mwangu najutia sana na Mungu anisaidie nisijetoka na mke wa mtu tena...Ashki ni mbaya sana mtu anatoroka From Shanty Town To Kb Hosp kisa tuu dyudyuu!!
Asingetoa tu hiyo mimba maana hakuna tofauti...
 
Back
Top Bottom