Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Ooow....was that so?? Okay why cant you take a partriotic measure on her if you care that much?? If i was a coward then you are an opposite of my side ..take her if you care to that extent.
Dude hasira hazisaidii babu, tendo mlifanya wote aafu wewe ukaingia mitini...ungefaa uwajibike maana hata kama aliamua kutoa hio mimba japo ni dhambi naamini ungesimama nae apate kuhudumiwa na wataalam sahihi ni sio vichochoroni may be...
 
Nilipeleka mwanangu hospital ya agha khan upanga.
Kwenye foleni za registration na malipo hamadi nikakutana na aunty moja limetimia balaa. Msambwanda wa hatari,jicho balaa, rangi ya mtume.

Nae alikuwa ameleta mtoto hospital. Story nyingi tukabadilishana business card. Baada ya hapo ikawa historia ila baadae niliogopa kwani ni mtu anaheshimika na jamii, kwenye tv anatokea sana na alidai ana mume lakini sijawahi kumsikia mumewe na yuko free sana kwenye simu wasap muda wote anaweza chat chochote.

Na mwepesi kudanganya kwake ameenda semina bagamoyo au Arusha kumbe nimemtuliza lodge siku 4.
Ila hayo mambo nusu yaigharimu ndoa yangu nikaachana nayo. Nahisi yule dada anaendelea na mtu mwingine kwa sasa.
Nitumie no yake basi
 
kwa wanaojutia n vzr kwa sbb washajua walifanya makosa, ila mtu unajisifu kutembea na mke/mme wa mtu na huna mpng wa kuacha. Malipo yake Yaja
 
sitakaa nitembee na mke wa mtu maana sitaki kuja kulipizwa kwa mke wangu....naomba Mungu anisaidie kwenye haya maamuz yangu
 
Kwakweli sitakaa nifanye sex na mke wa mtu maana usilopenda kufanyiwa na ww usiwafanyie wenzako....na malipo ni hapa hapa dunian....ee mwenyez Mungu nisaidie katika hili.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
na hakuepushie usi seme siwezi utaletewa mtihani na utaweza omba mungu hakuepushie mbali same goes to me ndo uwa nasema hivi. Godbless you uwe hivyo hivyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwaka wa tatu chuo nikiwa nimepanga karum kangu kamoja. Akaja jamaa kupandisha chumba mbele yangu. Kumba mchizi alikuja kumrudisha mke wake toka Dar aje moro baada ya maisha ya Dar kuwa ngumu.

Jamaa akarudi Dar huku mkewe anaishi peke yake na watoto wawili.

Hakuna kitu kibaya kama njaa. Basi dada wa watu akawa ananikopa ela ya umeme ikifika zamu yake.
Siku kaja kuomba cd ya kikorea gheto, kanikuta nimejilaza gheto na kamvua mvua kananyesha na watoto wamelala.

uzur ni kwamba nilikuwa nimekazoea sana na mara nyingi nilikuwa nakashika maziwa na takoo lkn sikuwa na mpango wa kukigonga.
Mtoto alipokuja gheto alikaa kitandan na kuanza mastor ya huko kwao, nikasema acha niweke heshima kidogo.

ile nachomekaa jogoo, ikatoka harufu kali balaa. Kiufupi niliuchomoa nikavaa taulo nikaelekea bafuni kuoga.
Nilirudi nnikamkuta kavaa ananiomba msamaha eti alikuwa kamaliza blid janayake.

Nikamwambia poa mimi nawahi kipindi.
Tangu siku hiyo sikutaka mazoea nae.

Kuna stori nyingi tu, kwaleo naishia hapa
 
Nilikutana nae barabaranu tukaongozana wote tukatembea hadi kwake
 
Na hivi ndivyo mlivyomshuhudia Muumba wenu kwa uchafu mlioufanya. Mtapata Sawa Sawa na mlivyotenda
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwaka wa tatu chuo nikiwa nimepanga karum kangu kamoja. Akaja jamaa kupandisha chumba mbele yangu. Kumba mchizi alikuja kumrudisha mke wake toka Dar aje moro baada ya maisha ya Dar kuwa ngumu.

Jamaa akarudi Dar huku mkewe anaishi peke yake na watoto wawili.

Hakuna kitu kibaya kama njaa. Basi dada wa watu akawa ananikopa ela ya umeme ikifika zamu yake.
Siku kaja kuomba cd ya kikorea gheto, kanikuta nimejilaza gheto na kamvua mvua kananyesha na watoto wamelala.

uzur ni kwamba nilikuwa nimekazoea sana na mara nyingi nilikuwa nakashika maziwa na takoo lkn sikuwa na mpango wa kukigonga.
Mtoto alipokuja gheto alikaa kitandan na kuanza mastor ya huko kwao, nikasema acha niweke heshima kidogo.

ile nachomekaa jogoo, ikatoka harufu kali balaa. Kiufupi niliuchomoa nikavaa taulo nikaelekea bafuni kuoga.
Nilirudi nnikamkuta kavaa ananiomba msamaha eti alikuwa kamaliza blid janayake.

Nikamwambia poa mimi nawahi kipindi.
Tangu siku hiyo sikutaka mazoea nae.

Kuna stori nyingi tu, kwaleo naishia hapa
Eeeeh.
 
wewe sio mwanaume. hakuna mwanaume anaweza kuona k akachomeka na kuchomoa kwasababu ya harufu? hiyo harufu imezidi mavvi? wakati kuna wanadamu hapa duniani wanachomeka kwenye mavi hadi yanatoka yanatapakaa kwenye mboloo yote mimavi wewe unakimbia harufu ya k? hivi kuna k isiyonuka? k zote zina harufu na ile harufu ndio uwanauke wenyewe, kama beberu linanusa kwanza ndio linasisimuka ndio wanaume. k hata ukiiosha sana, ule utomvu ukianza kutoka kuilainisha huwa unatoa harufu tu hata ufanyeje.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hii comment imenufurahisha kulko zote aisee, bigup hute!
 
kuficha siri au kutunza siri ni sawa na kufufuliwa mfu mmoja, asa una confess madudu yako hapa una dhani utasamewa, jutia ulicho fanya na fanya toba ya siri kwa mungu wako na jutia na amini kua ameku samehe ila sio kuelezea ushetani wako hapa doesnt work for u, why na sema hivi? kuna kisa kimoja zamani zamaa za Nabii Mussa, kuna mama alikua na mwanae wakiume anaishi nae tuh, kila siku wimbo wake mmoja tuh kwa huyo mwanae ulikua mwanangu lini utaoa, mwana: jibu mama aaarrggghhh weniache nitao tuh, huyu mwana kila siku alikua anaingia wanawake ghetoni watofauti mama anajiuliza hawa wanafata nini kuna nini? siku mwanae ndani kalala mama akanyata nae akazama kitandani akajifunika kwenye shuka ajue kulikoni hawa wadada. baada ya dakika mwana kapapasa kala mzigo mama yake mzazi bila kujua, yule mwana kumaliza kalala mama alitoka pale nakujutia huku akilia, na muda akashika mimba na hakumuambia mwanae alificha ile siri na akaenda mbali miaka ikaenda akajifungua mtoto wakike yule mtoto akaja akakua binti akaja ka kutana na mwanae wakapenda kumbe mtu na baba yake awaja juana, yule mtoto wakiume kamleta yule binti na kumelezea mama yake kua anataka aoe wewe sikila siku una ni sumbua kuhusu nioe huyu hapa nampenda, mama aka kata mtoto kachachama mie ndo huyu na mpenda nataka kuoa,mama ka ruhusu huku shingo upande mtu na mwanae wakaoana bila kujuana, yule mama ilimuuma huku nafsi ina msuta, siku moja alisikia kua nabii mussa yuko maeneo akamtafuta alikutana nae njiani, kama tuna vyo elewa kua mtume huyu alikua anauwezo wa kuongea na Mungu face to face, basi yule mama akamuambia Nabii naomba uniulizie hatma yangu nini baada ya hapa kufa yani mbele huku mimi ni mtu waina gani kwa nilio yafanya, basi mtu akaenda kwenye milima kule akaongea na Mungu kumaliza akawa anaondoka Mungu akamuambia una ujumbe wangu mbona uja niambia kumbe alikua amesahau akawa amekumbushwa na Mungu, akasema mwambie alikuagiza kwangu kua kuna pepo nzuri ina mgonja na kadhali mazuri kibao, basi Mtume aka kutana na yule mama akamueleza yule mama hata akawa ana lia amini Mussa aka muliza kwani umefanya nini? Yule mama akamuadisia yote na akamtuma tena Mussa akaulize pingine sio yeye Mussa kuenda tena kulizia akambiwa mwambie Moto na adhabu kali ina mngoja,, kumbe the moment ana confess yake yote kwa Mtume yule maana siri kaifichukua. anyway my point is kanaloooo omba Toba na tegemea kua umesamewa
 
nilikutana nae kwenye media fulani nikawa naumwa akanijali kuzidi bf wangu basi nilivyopona akanialika maeneo tukapiga glass kadhaa za wine nikarudi home ikawa mazoea tunatoka we have funny together na kunimwagia mapesa hapa kwa kweli aliniteka baada ya muda tukawa sehemu tulivu tunakula wine kama kawa akasogeza lips ndugu yangu nakaataaje wakati nishakula kama M fulani hivi nikatumia u fundi wangu wote kwenye kukiss hallo alidata na alikuwa hajui kukiss mshamba. na mi sema najua nilisisitiza ajali familia yake tu huku na mi anipe pesa muhimu .. nilimwacha alivyompa mkewe mimba sitaki dhambi mimi ya kutesa malaika wa bwana hasa wakiwa tumboni mwa mama zao.... mchepuko siyo dili baki njia kuu

Kiru! Hiyo media itakuwa JF tu, ila hongera kwa kula milion kwa denda tu!
 
Back
Top Bottom