Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Mimi binafsi nimecheat na wake za watu wawili! mmoja nipo nae hadi sasa hivi, nimegundua tatizo kubwa linalofanya wake za watu kutoka nje ya ndoa ni kutafuta upendo na dozi ya kibabe katika mapenzi, wanawake wote niliotembea nao wanalalamika kuwa waume zao hawawapi mapenzi mubashara na wala hawawajali kabisa katika suala zima la upendo, utakuta jamaa anarudi kazini lakini hana time na mke wake eti ya kuwa amechoka na kazi au sometimes mtu anajifanya yupo busy sana hata kumbembeleza mke wake inakuwa tatizo, wengine wanawakalipia wake zao....."Acha tu tuwagongee"
so we ndio bingwa?...subiri ufumuliwe washeli hizo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
Be blessed if your uttering the truth and if you're deceiving let an unbearable and heavy God's punishment be up on u
 
Ngoja na mimi nifunguke, Mnamo mwaka 2008 nilikuwa chuo, sasa ikatokea binti mmoja nilimpenda ila kumwambia nikawa nashindwa (domo zege)

Baada ya kuhitimu masomo tukatengana katika kutafuta maisha hapo ndo nikamtongoza kwa simu na akakubali, kabla hatujakutana kufanya yetu akanitafuta tena na kuniambia kaolewa na jamaa mmoja tajiri na tukapoteza mawasiliano.

Iliniuma sana nikaahidi nitatimiza dhamira yangu hata kama uzeeni, baada ya miaka 6 akanitafuta yeye kupitia social network na mambo yakaanzia hapo, nikahakikisha natekeleza jambo nililoahidi.

Hapa nikajifunza Usimwamini Mwanadamu.
 
wewe sio mwanaume. hakuna mwanaume anaweza kuona k akachomeka na kuchomoa kwasababu ya harufu? hiyo harufu imezidi mavvi? wakati kuna wanadamu hapa duniani wanachomeka kwenye mavi hadi yanatoka yanatapakaa kwenye mboloo yote mimavi wewe unakimbia harufu ya k? hivi kuna k isiyonuka? k zote zina harufu na ile harufu ndio uwanauke wenyewe, kama beberu linanusa kwanza ndio linasisimuka ndio wanaume. k hata ukiiosha sana, ule utomvu ukianza kutoka kuilainisha huwa unatoa harufu tu hata ufanyeje.
hahaha nyie watu na ghizi comments dah...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi yalinikuta haya...nilikuwa namiliki biashara ya stationery ambayo ina huduma ya mtandao...sasa kuna mama alikuwa ni mteja wangu wa muda mrefu kumbe sikujua alikuwa na yake mambo...kuna siku alinipigia simu mida kama ya saa 2 hv usiku akiniomba nisifunge kwan ana kazi muhimu ya ofisi anahitaj kuifanya usiku huo akidai kuhusu muda wangu nisijal atanilipa kwan atakuwa amevuruga utaratibu wangu niliokuwa nimejiwekea...

jambo la ajabu alifika mida ya kama saa nne hv pindi maduka mengi yameshafungwa cha ajabu hakuvaa kama mtu aliyetoka ofisi alivaa kimini chenye mpasuo wa kufa mtu na vile amejaliwa ile kumuangalia tu mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio..akaniomba radhi kwa kuchelewa kwan alipitia nyumban na kuoga kisha ndio akaja lkn poa akiniomba nikaenae kwenye pc kuna vitu angehitaj nimsaidie.....

sasa hapo ndio balaa lilipoa anzia, alianza kufanya kaz zake za kuedit baadhi ya barua baadae akaniomba nirudishie mlango kwa tyr muda ulikuwa umeenda wasije kupita polisi ikawa tabu kwani tayar ilikuwa inakaribia saa 6...nam nikakubar bila kujua lengo lake...mara heee akaanza kujisemesha hii brazia niliovaa inanibana mpaka nakosa raha na hv nimechoka..baadae akasema ngoja niivue..mm nikajisemesha ngoja nikupishe akacheka akasema acha utoto bhana kwanza wewe ndio nakutegeme unisaidie kuifungua kwa nyuma...

kidume dushe limesimama km mnara wa babel mama kweli bhana akavua brauz na kuniomba ni mfungue wakat nafanya hvy akaanza kusema una mikono laini kama mwanamke...

yn inanisisimua duuuh itakuwa girl friend wako anaidi sana heee ile namalizia tu kuitoa brazia saa ngap mama asigeuke nakuanza kunila mate huwez amin mama mtu mzima ana matiti km binti..

mzee mzima sikulaza damu yn mambo ya yule mama na umri wake haviendani yn kuanzia pale nikaanza kuwa marioo nn nihitaj mama asibipatie huwez amini yy ndie sababu ya kufunga biashara yng na kuhama kwan baada ya mme wake kujua anamwibia hela ananiletea mnyamwez huku alituma watu waje kunifanya kitu mbaya yn kwel kuishi na watu vzr ni hazina kwan mmoja ya aliowatuma ni mshkaj wangu tunaheshimiana sana akanitonya yn nilisepa na kutafuta fremu sehemu nyingn na kuacha kodi yangu ya miez miwil..

Jaman mke wa mtu ni sumu, unaweza kutolewa marinda hvhv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni shida sana yani hapo hata mii ningeanguka tu....dah we are weak bbut we need to be strong..sa kama hapo mara nifungue mara sijuiiiautomaticxaly utamalizananae tu...
 
Umenifanya nmedindisha...
Kuna mke wa mpangaji mwenzangu hapa, ni mama mkubwa ananizidi miaka kama 22 hivi....
Eti huwa anasema "tafuta sehemu tupige story ila tofauti na humo kwako"

Jamani huyu si anataka nimkamue huyu?? Kesho kutwa (Public holiday) lazima nimgonge..
Wanyama Hotel inahusika sana...

OFM tutatia kambi pale
 
Sijui lengo la wanawake kuanza kujiliza huku wakitueleza matatizo ya waume zao ambao ni marafiki zetu huku wakijua ndege wafananao huruka pamoja, Sijui dhumuni lenu ni nini naomba mtusaidie nahisi huu ndo mzizi wa fitina.
 
Nilikuwa safarini toka DSM kwenda Dubai.Nilipanda na Dada wa makamo mrembo mwenye mwili mnene kidogo,tukazoeana mpaka tumefika yeye ilikuwa marayake ya kwanza kipindikile wa Tz wengi wanafuata bidhaa Dubai,basi nikawa kama mwenyeji wake.Aliniambia ni mke wa MTU lakini sikujua ni mama mchungaji,nilipokuja gundua nilijihisi ubaya sana kulala na mke wa mtumishi.Nilimpotezea mpaka Leo
 
Eeeh hawavumi lakini wamo ? Unavyo waongeleaga binti zako sijui alipigwa hadi kuzimia na mwalimu

Nilikuwa nakuona mama mmoja na heshima zake kumbe hovyo tu ??
Hakuna mtu mtakatifu mkuu kwani sisi ni binadamu na tuna mapungufu mengi tu. Historia zetu ndiyo zinatufanya tuwe tulivyo leo,, usimhukumu dada hapo kwa aliyo yapitia maishani mwake bali kama funzo tu katika safari hii ya maisha.
 
Sijui lengo la wanawake kuanza kujiliza huku wakitueleza matatizo ya waume zao ambao ni marafiki zetu huku wakijua ndege wafananao huruka pamoja, Sijui dhumuni lenu ni nini naomba mtusaidie nahisi huu ndo mzizi wa fitina.
hapana mwanamke anapendwa kusikilizwa hasa na mwanaume . anapokuja kukueleza ukampa nafasi ya kumsikiliza haloo kumtafuna ni rahisi sababu hataki dudu anataka umsikilize na mumewe hafanyi hivyo
 
Back
Top Bottom