kuficha siri au kutunza siri ni sawa na kufufuliwa mfu mmoja, asa una confess madudu yako hapa una dhani utasamewa, jutia ulicho fanya na fanya toba ya siri kwa mungu wako na jutia na amini kua ameku samehe ila sio kuelezea ushetani wako hapa doesnt work for u, why na sema hivi? kuna kisa kimoja zamani zamaa za Nabii Mussa, kuna mama alikua na mwanae wakiume anaishi nae tuh, kila siku wimbo wake mmoja tuh kwa huyo mwanae ulikua mwanangu lini utaoa, mwana: jibu mama aaarrggghhh weniache nitao tuh, huyu mwana kila siku alikua anaingia wanawake ghetoni watofauti mama anajiuliza hawa wanafata nini kuna nini? siku mwanae ndani kalala mama akanyata nae akazama kitandani akajifunika kwenye shuka ajue kulikoni hawa wadada. baada ya dakika mwana kapapasa kala mzigo mama yake mzazi bila kujua, yule mwana kumaliza kalala mama alitoka pale nakujutia huku akilia, na muda akashika mimba na hakumuambia mwanae alificha ile siri na akaenda mbali miaka ikaenda akajifungua mtoto wakike yule mtoto akaja akakua binti akaja ka kutana na mwanae wakapenda kumbe mtu na baba yake awaja juana, yule mtoto wakiume kamleta yule binti na kumelezea mama yake kua anataka aoe wewe sikila siku una ni sumbua kuhusu nioe huyu hapa nampenda, mama aka kata mtoto kachachama mie ndo huyu na mpenda nataka kuoa,mama ka ruhusu huku shingo upande mtu na mwanae wakaoana bila kujuana, yule mama ilimuuma huku nafsi ina msuta, siku moja alisikia kua nabii mussa yuko maeneo akamtafuta alikutana nae njiani, kama tuna vyo elewa kua mtume huyu alikua anauwezo wa kuongea na Mungu face to face, basi yule mama akamuambia Nabii naomba uniulizie hatma yangu nini baada ya hapa kufa yani mbele huku mimi ni mtu waina gani kwa nilio yafanya, basi mtu akaenda kwenye milima kule akaongea na Mungu kumaliza akawa anaondoka Mungu akamuambia una ujumbe wangu mbona uja niambia kumbe alikua amesahau akawa amekumbushwa na Mungu, akasema mwambie alikuagiza kwangu kua kuna pepo nzuri ina mgonja na kadhali mazuri kibao, basi Mtume aka kutana na yule mama akamueleza yule mama hata akawa ana lia amini Mussa aka muliza kwani umefanya nini? Yule mama akamuadisia yote na akamtuma tena Mussa akaulize pingine sio yeye Mussa kuenda tena kulizia akambiwa mwambie Moto na adhabu kali ina mngoja,, kumbe the moment ana confess yake yote kwa Mtume yule maana siri kaifichukua. anyway my point is kanaloooo omba Toba na tegemea kua umesamewa