Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

mshenzi baba yako kichwa kama kamongo, kafie egypt wewe shetani wa mgu mmoja nani kaleta dini, nikitoa reference kwenye dini ndo mdini au nitoe kwenye siasa uniambie mie ukawa, kajambe mbele huko maana yuma umechemka kifutu usiokua na ulimi. chumvi ya mmarekani wewe sio ya hindi maana una kiherehere kunyamaza umeshindwa basi zaaa maziwa pia au mayai uwezi.
Duuu. Matusi mujarabu
 
Kuna dada nilimtokea wakat nikiwa mwaka wa pili undergraduate akawa amekataa...poa na mm nikamvungia.Baadae akajaolewa na kupata mtoto mmoja mimi mikawa na kumsahau nishamsahau.Akamtafuta mdogo wangu akitaka my numbers so alipopata akanipigia simu na kumikumbusha yy ni nani .After kumkumbuka akadai anataka aje anitembelee kazini kwangu..of which ni kama 20 kms kutoka kwake.Mimi nikaona kwa vile ni salamu tuu poa.Akaja hiyo siku akaanza kunambia bwana ake hashirikiani nae kimapenzi na ana zaid ya mwezi hajaduu na mumewe!! I was shocked bila hiyana nikajikuta nimevunja amri tena bila ndom...daah on the very first day baada ya kuduu ikaja kugundulika ana mimba na yupo kwenye ndoa!! Afanyeje amwache jamaa aje kwangu au asingizie mimba wakat hajaduu na jamaa miezi kadhaa..!! God forgive me and forgive her but what to say is that ashaachana na jamaa na mm laini ya simu nimevunja na eneo la kazi nimehama!! So disgusting and horrible...
aiseee mungu akurehemu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna dada mmoja nilikutana naye kkoo....ktk kaofisi furani hiv...alipomaliza kunifanyia kazi yangu nikamshukuru na nikamuomba no yake ili nimtumie asante....baadae nikamtumia 5000.....siku ya 2 nikamtumia 5000 nikafanya hivyo wiki 2....mfululizo....basi nikabandua mtt yule....nikadumu naye mwaka....akaja kuolewa na jamaa mwingine..baada ya saba akaniletea na baada ya wiki tena .....ila nikaja kuacha baada ya mumewe kustukia.......
Ndomana kuowa najifikiria sana
 
HAKIKA YA ZINAA NI DENI, MWENYE KUZINI NAYE ATAZINIWA, KUMBUKA UNAYEMZINI NI IMA MAMA WA MTU AU MKE WA MTU AU BINT WA MTU AU DADA WA MTU AU SHANGAZI WA MTU. HIVYO BASI JUA DENI HILO HALIEPUKIKI NA KAMA ULIZINI KWA LAKI MOJA BASI JUA MAMA YAKO, BINT YAKO, DADA YAKO, MKE WAKO, SHANGAZI YAKO etc,ATAZINIWA BILA HATA YA SHILINGI MOJA.

"MSIKARIBIE ZINAA, KWANI HAKIKA YA ZINAA NI UCHAFU NA NI NJIA MBAYA" QUR-AN 17:32
 
kuna majukwaa mengine ya dini,sio lazima upite huku na ukomenti na hizo aya zako
 
kuna majukwaa mengine ya dini,sio lazima upite huku na ukomenti na hizo aya zako
Hakika umesema, waache wanaona sina kuelezea uzinzi wao humu alafu wanataka kuacha eti, kizazi cha sasa shida kweli nimeamini watu hivi hivi anawaza michele na mashudu kuandika issue za kijinga hivi na jitu lina funguka ujinga alio ufanya unaona sifa kabisa eti nili kula mke wa mtu asa na wewe jua mkeo ana chengwa asaivi 😀 watu wana myosha
 
1. mimi sio pal wako tena ishia huko huko kasuku wa giriki. Usinitishe na kingereza chako cha grade 4.
2. Dhambi zenu zina nihusu ndiyo, ndo maana nakuambia ili kuwajenga mijitu yenye mitazamo ovyo, jamii ni kitu kimoja bomoa jamii au jenga jamii alafu angalia nani anaumia mmoja mmoja au wengi of cuz ina umiza jamiii kwa ujumla,, watu kama nyie ndo mnatu harib alafu mna lala mika hakuna madili kumbe wenywe wa zambiki.
3. Ndio lazima ni comment na kua mpole wewe unapenda +ve feedback to -ve unaona shida, wewe ndo uwe mpole unge soma ukacha lazima ujibu au nimekuuuuma nini 😀 .
4. kuchikia feel intense or passionate dislike for someone/anything inasaidia kupata hafueni kua atupendi ujinga. shingo kama mua wariadi.
I WONT MIND MY FUCKING BEEZ WAXXXXXXXXXXXXXXXX wala nini issue ya mke na mume sensitive usione sifa kudandia wake za watu jegere ya cairo wewe.
1st u don't even knw why PAL means do u?duuu aint my fault lkn

2nd-we huna dhambi?why don't u concentrate na dhambi zako na sisi tukakazia za kwetu?zetu zinakuhusu nn?

3rd-kama unaona kila post ni lazima u comment basi una shida ubingoni kwako but is your business so keep commenting mkuu and gud luck

4th -kwani ukiongea ndo wake za watu watacha kuliwa?
Nasisitiza kama una cha kujifunza jifunze kama hutaki acha haulazimishwi
Unakaza mnduku kama umeliwa mkeo bana aah bila hata aibu unatuletea vifungu vyako vitusaidie nn?kwani hua tunakualika tunapoenda kugegeda?kajam.be tikiti huko mada inasema tupe reason why ulicheat na make au mume wa MTU we unaleta madarasa yako ya kic.hoko hapa mngese kweli ww
 
Mimi binafsi nimecheat na wake za watu wawili! mmoja nipo nae hadi sasa hivi, nimegundua tatizo kubwa linalofanya wake za watu kutoka nje ya ndoa ni kutafuta upendo na dozi ya kibabe katika mapenzi, wanawake wote niliotembea nao wanalalamika kuwa waume zao hawawapi mapenzi mubashara na wala hawawajali kabisa katika suala zima la upendo, utakuta jamaa anarudi kazini lakini hana time na mke wake eti ya kuwa amechoka na kazi au sometimes mtu anajifanya yupo busy sana hata kumbembeleza mke wake inakuwa tatizo, wengine wanawakalipia wake zao....."Acha tu tuwagongee"
Jiandae kugongewa na wa kwako pia
 
  • Thanks
Reactions: SDG
1st u don't even knw why PAL means do u?duuu aint my fault lkn

2nd-we huna dhambi?why don't u concentrate na dhambi zako na sisi tukakazia za kwetu?zetu zinakuhusu nn?

3rd-kama unaona kila post ni lazima u comment basi una shida ubingoni kwako but is your business so keep commenting mkuu and gud luck

4th -kwani ukiongea ndo wake za watu watacha kuliwa?
Nasisitiza kama una cha kujifunza jifunze kama hutaki acha haulazimishwi
Unakaza mnduku kama umeliwa mkeo bana aah bila hata aibu unatuletea vifungu vyako vitusaidie nn?kwani hua tunakualika tunapoenda kugegeda?kajam.be tikiti huko mada inasema tupe reason why ulicheat na make au mume wa MTU we unaleta madarasa yako ya kic.hoko hapa mngese kweli ww
acha ushambenga:

A.) Najua maana ya Pal na PAL. wewe kiazi mbatata kweli ain't my burden lakini.
B.)Mimi na dhambi ndo maana ya kua binadamu kunge kua binadamu wote awatendeni dhambi tunge kua wiped katika mgonog wadunia wakaletwa viumbe vingine ambao wanatenda dhambi ila mostly important wanao tubu. so na dhambi ila najitaidi kutubu nisiwe na midhambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama mlima kilimanjaro.
Na concentrate na zako na zenu maana tuna link www alafu una issue sensitive unajua uchungu wa mume wewe au wa mkee au unakurupuka tuh ku confess ujinga eti nimekula mke wa mtu unadhani ujanja ule????????
C.) si kila commment ni post kunguru wa capetown wewe, nime post kwa sababu sina shinda ubongoni na sio ubingoni hata ku type kuna kushinda na ninaendelea that's for the luck wish na mimi sio mkuuu kichwa nazi . 😀
 
Mkuu umetoa Aya yenye fundisho mpaka nikasema angalau watu wanaojielewa wapo.
Baada ya muda kidogo tu umetoa matusi mpaka nimebaki njia panda. Ni upi uhalisia wako mkuu?
Vifungu vitakatifu au matusi?
 
Mmenipa hamasa ya kutafuta mke wa MTU.
Huyu mdada ni mteja wangu wa Nguo hapo sokoni. Kaja dukani nikamuonesha mzigo mpya Wa chupi za kike nzuri.
Akachukua set (3).
Jana kaja dukani anasema chupi zile ni nzuri sana.
Nikamwambia tuone. Akaingia chemba akanionesha.
Alipoaga baada ya muda akanipigia simu nimfuate hotel (name withheld) .Nikaenda kumpa mambo. Duuuh. Hebu wanaume tuwatimizie wake zetu raha ya unyumba.
Duh.. Nielekeze nije kuchukua vyupi vizuri kwa ajili ya mke wangu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu umetoa Aya yenye fundisho mpaka nikasema angalau watu wanaojielewa wapo.
Baada ya muda kidogo tu umetoa matusi mpaka nimebaki njia panda. Ni upi uhalisia wako mkuu?
Vifungu vitakatifu au matusi?
mkuu nisamehe mie binadamu, huyu mtu kani provoke nikalusha masumu hadi kupitiliza.... 🙁 anyway nilikua nachangamsha tuh humu sikua serious kwenye kutusi na sijaona tusi ila yeye kani tusii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom