Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

nilikutana nae kwenye media fulani nikawa naumwa akanijali kuzidi bf wangu basi nilivyopona akanialika maeneo tukapiga glass kadhaa za wine nikarudi home ikawa mazoea tunatoka we have funny together na kunimwagia mapesa hapa kwa kweli aliniteka baada ya muda tukawa sehemu tulivu tunakula wine kama kawa akasogeza lips ndugu yangu nakaataaje wakati nishakula kama M fulani hivi nikatumia u fundi wangu wote kwenye kukiss hallo alidata na alikuwa hajui kukiss mshamba. na mi sema najua nilisisitiza ajali familia yake tu huku na mi anipe pesa muhimu .. nilimwacha alivyompa mkewe mimba sitaki dhambi mimi ya kutesa malaika wa bwana hasa wakiwa tumboni mwa mama zao.... mchepuko siyo dili baki njia kuu
ahaaaaaa naona uliwakilisha michepuko vizuri
 
Nilikutana nae barabarani akaniomba nimsindikize kwa mangi maana ilikuwa usiku, tukawa tunatembea wote kuelekea kwa mangi. Akanunua sukari nikatembea nae mpaka kwake, tukaagana mimi nikarudi kwangu.

Does that count??? Au sijaelewa mada
 
nkiwa kdato cha nne 2010 kuna mwalm alkua ananiamin sana, alkua anan2ma sehem mbal2, alnichukulia kama mwanae japo hakuwa mkubwa kiumr. mkewe alianza kunieleza matatzo ya ticha na kuniomba nmwambie tcha aache k2 ambacho naamin hamna ambae angeweza hapa jf, cku 1 2lienda shamba kuvuna mahnd mim tcha na mkewe, tcha akaitwa gafla na hedmasta akatuacha. mkewe akasema leo n leo tukmalza nakupa zawad na akanpa uko uko shamban. nsameh mung, nsameh mwalim wangu
 
nilikutana nae kwenye media fulani nikawa naumwa akanijali kuzidi bf wangu basi nilivyopona akanialika maeneo tukapiga glass kadhaa za wine nikarudi home ikawa mazoea tunatoka we have funny together na kunimwagia mapesa hapa kwa kweli aliniteka baada ya muda tukawa sehemu tulivu tunakula wine kama kawa akasogeza lips ndugu yangu nakaataaje wakati nishakula kama M fulani hivi nikatumia u fundi wangu wote kwenye kukiss hallo alidata na alikuwa hajui kukiss mshamba. na mi sema najua nilisisitiza ajali familia yake tu huku na mi anipe pesa muhimu .. nilimwacha alivyompa mkewe mimba sitaki dhambi mimi ya kutesa malaika wa bwana hasa wakiwa tumboni mwa mama zao.... mchepuko siyo dili baki njia kuu
dah
 
Mimi binafsi nimecheat na wake za watu wawili! mmoja nipo nae hadi sasa hivi, nimegundua tatizo kubwa linalofanya wake za watu kutoka nje ya ndoa ni kutafuta upendo na dozi ya kibabe katika mapenzi, wanawake wote niliotembea nao wanalalamika kuwa waume zao hawawapi mapenzi mubashara na wala hawawajali kabisa katika suala zima la upendo, utakuta jamaa anarudi kazini lakini hana time na mke wake eti ya kuwa amechoka na kazi au sometimes mtu anajifanya yupo busy sana hata kumbembeleza mke wake inakuwa tatizo, wengine wanawakalipia wake zao....."Acha tu tuwagongee"
 
Back
Top Bottom