Confession: Juu ya kulala na wake za watu

mke wa mtu ni sumu, kaa mbali na wake za watu kwa ustawi wako, yasije yakakukuta yakukukuta ikawa stori kubwa mitandaoni
 
Zamani mtu akifumaniwa na mke wa mtu kesi inaitwa ya ugoni kisha pesa inadaiwa kesi inaisha ila siku hizi sijui kwanini watu wanataka sehemu za siri za nyuma za mwanaume zihusike kwenye kesi
Ufirauni tu, hivi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kukaza makebo kumwaga kwa mwanaume mwenzio kama sio ushoga
 
Daah wazoefu mnapeana mbinu kabisa
 
Zamani mtu akifumaniwa na mke wa mtu kesi inaitwa ya ugoni kisha pesa inadaiwa kesi inaisha ila siku hizi sijui kwanini watu wanataka sehemu za siri za nyuma za mwanaume zihusike kwenye kesi
Kijakazi
 
Acha uliwe matAko ndo utaacha ! Mke anauma sana....
Yani mtu anamhudumia mkewe kila kitu, kamlipia mahari alafu atokee mpumbavu mmoja aje amlale kirahisi tu ...... !

Kama umekiri kosa, nenda kwa kiongozi wa imani yako, msimulie akushauri zaidi uache huu upumbavu mara moja ! Ngono haina tuzo, huko unazoa mikosi na magonjwa tu
 
Namimi najuta kukuibia, mara kadhaa hujikuta nipo maeneo ya makazi yako ambapo hukutana na mkeo nyumbani kwa shoga yake, japo najutia lakini nashindwa kuacha, samahani jirani yangu.
 
Sio mzoefu ila sipendi tabia za fumanizi na kupaka watu mafuta, naona ni kukosa ustaarabu. Mtu akijua mwanamke wake anachepuka aachane naye tu kwa amani badala ya kuanza kuleta vurugu.
Mkuu Kila MTU ana mwisho wake wa hasira.
Kuna bwana mmoja jirani yake alikuwa anatoka na mkewe,yule bwana akaamua kumwacha mkewe akaoa mwingine.
Alipoletwa huyu jamaa akamdinya na huyu.
Akamwacha akaoa mwingine.Jirani akamtongoza na huyu,kwa bahati huyu alikuwa anajitambua akamwambia mumewe.
Jirani akawekewa mtego akanasa.Alichofanyiwa mh!.Alikimbia mji
 

Duh. Hii kesi imeshakuwa ngumu.

Unaambiwa Jana Kuna mtu alishindwa kufanikisha ndoa yake kwa kumkuta Bi. Harusi na Ex wake wakigegedana siku Moja kabla ya Ndoa Takatifu kufungwa.

Leo tena Mume wa mtu aliyefunga ndoa, anajipigia tu wake za watu waliopo kwenye ndoa zao, wengine wajawazito na wengine siyo wajawazito.

Mimi naomba kuuliza Kwa wanawake, hivi tatizo huwa ni Nini hadi kulala na Ex wako siku Moja kabla ya Ndoa na pia kulala na Mwanaume mwingine baada ya kuolewa????
 
Usijali mkuu maana hata mke wako anachapwa kisiri siri bila hata wewe kujua pia kama unavo fanya wewe na kuwa msiri kwake 😎
 
Dhambi huwa inatabia ya kushtaki nafsi utajiona waajabu tu na hufai, tubu mkuu ili uanze maisha mazuri ya kumpendeza Mungu
 
Ushauri wangu tembea nafuta jingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…