Confession

Confession

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio ulikua unani shangaza because it was too much . Kila siku when we talk lazima alikua ananiambia i love you very much na mm nlikua nareply i love you too ( nikijua ni just a friend.
Sasa one day niliwahi kufika kazini na yy akawahi kufika so mm nikaenda jikoni kuchukua coffee na yeye akaja , then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Sasa tangu hilo tukio its been weird siwezi kumuangalia usoni najitahidi kumkwepa . In short napata shida.
Sijui na yeye anapata shida ? Though she is acting normal .
Mungu wangu nisaidie sijui nifanyaje .
 
Hivi huwezi kuamua ukaandika kwa kutumia kiingereza moja kwa moja au kiswahili? Kwa nini unaweka habari inakuwa na madoa doa ya lugha kama chui? Ndiyo tuone wewe ni msomi au?
 
Back
Top Bottom