Confession

Confession

I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio ulikua unani shangaza because it was too much . Kila siku when we talk lazima alikua ananiambia i love you very much na mm nlikua nareply i love you too ( nikijua ni just a friend.
Sasa one day niliwahi kufika kazini na yy akawahi kufika so mm nikaenda jikoni kuchukua coffee na yeye akaja , then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Sasa tangu hilo tukio its been weird siwezi kumuangalia usoni najitahidi kumkwepa . In short napata shida.
Sijui na yeye anapata shida ? Though she is acting normal .
Mungu wangu nisaidie sijui nifanyaje .
umeolewa, lesbian wanapenda wanawake wazuri sana... utakuwa mrembo weye.
 
Screenshot_2016-12-28-22-24-08_1.jpg
 
then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Lahaulaaa! Laanaturah sheitwan raji'un
 
Mkuu si ungeandika lugha moja wapo kati ya kiswahili au hicho Kikorinto?
Maana hapa umetupa kazi ya kuchagua sentesi za kusoma zingine tunaziruka hatuelewi umeandika lugha ipi!

Back
Top Bottom