Confession

Confession

I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio ulikua unani shangaza because it was too much . Kila siku when we talk lazima alikua ananiambia i love you very much na mm nlikua nareply i love you too ( nikijua ni just a friend.
Sasa one day niliwahi kufika kazini na yy akawahi kufika so mm nikaenda jikoni kuchukua coffee na yeye akaja , then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Sasa tangu hilo tukio its been weird siwezi kumuangalia usoni najitahidi kumkwepa . In short napata shida.
Sijui na yeye anapata shida ? Though she is acting normal .
Mungu wangu nisaidie sijui nifanyaje .
Duuh so unataka kusema zile response zako ulikua humaanishi?. Stop acting like hujui wewe tyr ulisha mpa greenflags kingine hapo kazini ni mademu wote maana asinge fanya huo ujinga!
 
Angekusaga ndio bye byee, ungekuwa unaendelea kusagwa kukobolewa kama mahindi
 
I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio ulikua unani shangaza because it was too much . Kila siku when we talk lazima alikua ananiambia i love you very much na mm nlikua nareply i love you too ( nikijua ni just a friend.
Sasa one day niliwahi kufika kazini na yy akawahi kufika so mm nikaenda jikoni kuchukua coffee na yeye akaja , then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Sasa tangu hilo tukio its been weird siwezi kumuangalia usoni najitahidi kumkwepa . In short napata shida.
Sijui na yeye anapata shida ? Though she is acting normal .
Mungu wangu nisaidie sijui nifanyaje .
Sasa Mungu akusaidie kwa lipi hapo,

Binadamu mmekosa vya kumwomba Mungu
 
Mreport HR office haraka, analeta mambo ya kiresbiani offisini. Ukichelewa atakuingizia tango pori, uwe wale wanaitwa "mabwawa" na upoteee kabisa huko
 
I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio ulikua unani shangaza because it was too much . Kila siku when we talk lazima alikua ananiambia i love you very much na mm nlikua nareply i love you too ( nikijua ni just a friend.
Sasa one day niliwahi kufika kazini na yy akawahi kufika so mm nikaenda jikoni kuchukua coffee na yeye akaja , then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Sasa tangu hilo tukio its been weird siwezi kumuangalia usoni najitahidi kumkwepa . In short napata shida.
Sijui na yeye anapata shida ? Though she is acting normal .
Mungu wangu nisaidie sijui nifanyaje .
Screenshot_20240630-104622.jpg
 
Mkuu si ungeandika lugha moja wapo kati ya kiswahili au hicho Kikorinto?
Maana hapa umetupa kazi ya kuchagua sentesi za kusoma zingine tunaziruka hatuelewi umeandika lugha ipi!
Kiswahili na English ni lugha rasmi za Tanzania ndiyo maana zinafundishwa mashuleni na zote zinatumika maofisini/serikalini.

Pili, miaka hii ya sasa kukomaa na lugha moja pekee ni ufala wa hali ya juu sana. Jitahidi ujue angalau mbili au tatu
 
I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio ulikua unani shangaza because it was too much . Kila siku when we talk lazima alikua ananiambia i love you very much na mm nlikua nareply i love you too ( nikijua ni just a friend.
Sasa one day niliwahi kufika kazini na yy akawahi kufika so mm nikaenda jikoni kuchukua coffee na yeye akaja , then akaniambia haujafunga vifungo vya shati lako vizuri , nikamjibu asante babe ngoja nifunge akanisogelea akaanza kufungua vifungo vigine then akawa ana touch my boobs , nikawa nipo kwenye shock at the time then she started kissing me and kissing me , then nikarudi kwenye my sense nikamsukuma nikamwambia hapana mm sio wa hivyo nikatoka kule jikoni.
Sasa tangu hilo tukio its been weird siwezi kumuangalia usoni najitahidi kumkwepa . In short napata shida.
Sijui na yeye anapata shida ? Though she is acting normal .
Mungu wangu nisaidie sijui nifanyaje .
Utoto Raha Sanaa
 
Back
Top Bottom