Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA wanyakua jimbo la Ilemela

Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA wanyakua jimbo la Ilemela

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Jimbo la Ilemela nalo limeenda CHADEMA.

Kura HALISI:


CCM: 26,870
CHADEMA: 31,000+
 
Source star tv

ccm 26870

chadema 31 na

jumla ya wapiga kura =175938
 
Habari ndo hiyo...kampita dialo kwa mbali..Live toka star TV
 
ubunge ccm-26570
chadema-31....
source star tv:israel:
 
safi saaaana!
Star TV hawajaogopa kutangaza bosi wao kashindwa?
 
It is confirmed kwamba chadema imeshinda ilemela wa chadema kapata 31000 na ccm 26000

naangalia star tv wanaonekana wanyonge

chadema hoyeeeeeeeeee ilemelaaaaaaaa
 
WAOOO GUD NEWS,kweli mwanza mumenifurahisha sana,hakuna lisilowezekana haawa washenzi wameshindwa safi saaana.
 
Antony dialo chali, na hata watangazaji wake wamepugwa na bumbuwazi
 
Diallo, pole bana, tunakutoa madarakani kwenye ngazi ya Ubunge ili ukajisomee usafishee vile vyeti vyako ulivyofoji.
 
aaahahahha wasitutanie hawa Mh rais Slaa naomaba nikusalimu kwa jina la Muumba
 
Back
Top Bottom