Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA wanyakua jimbo la Ilemela

Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA wanyakua jimbo la Ilemela

Kama Star tv wametangaza kuwa mbosi wao kapigwa chini basi kimeumana!
 
Mpaka sasa matokeo ya #Uchaguzi jimbo la Mbeya mjini hayajatangazwa na kuna umati mkubwa sana wa Wananchi wanangoja kusikia matokeo wakigoma kurudi majumbani. Polisi wamepiga mabomu ya Machozi ila kwa sasa hali imetulia. Taarifa zinasema kwamba mpaka sasa Joseph Mbilinyi anaongoza kwa tofauti ya wastani wa kura zaidi ya 12,000.
 
Jamani haya matokeo mbona yanaleta rahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! Sauti inaendelea kusikika kona zote.
 
Mpaka sasa matokeo ya #Uchaguzi jimbo la Mbeya mjini hayajatangazwa na kuna umati mkubwa sana wa Wananchi wanangoja kusikia matokeo wakigoma kurudi majumbani. Polisi wamepiga mabomu ya Machozi ila kwa sasa hali imetulia. Taarifa zinasema kwamba mpaka sasa Joseph Mbilinyi anaongoza kwa tofauti ya wastani wa kura zaidi ya 12,000.

Kama hii ni kweli basi siku inakwenda vizuri
 
:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:HUREEEEEEE!!NAWAKUBALI WATU WA KANDA YA ZIWA LAKINI TARIME IMEKUWAJE MKAACHIA JIMBO KWA CCM?
 
nikweli wametangaza source star tv wameutuunganisha na ofis ya msimamiz wakati akitangaza matokeo, ukweli chadema wameshinda

Watanzania mbioni kukomboa nchi yao!! ni wakati wa vijana sasa................ mungu tusaidie:smile-big:
 
Ilemela imechomoka ccm na star tv nao naona wamechomoka kutangaza live?
 
Back
Top Bottom