KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 540
Official results ni kuwa chadema wametwaa jimbo la meatu kwa kumwangusha mbunge aliyekuwa anatetea kiti chake.
Chadema, meshaki Opulukwa- 13850
CCM- Salum Hamis, 12824
Udiwani-
CCM- 11
UDP-kata 2
Chadema kata 1
Jeremiah Meshack Opolukwa amekuwa lini Dr hebu acheni uzushi! Matokeo bado
Source please acheni kuturusha roho wajameni
uraisi tunawasubiri NEC taifaKura za rais vipi?