Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA yachukua jimbo la Meatu

Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA yachukua jimbo la Meatu

Official results ni kuwa chadema wametwaa jimbo la meatu kwa kumwangusha mbunge aliyekuwa anatetea kiti chake.
Chadema, meshaki Opulukwa- 13850
CCM- Salum Hamis, 12824

Udiwani-
CCM- 11
UDP-kata 2
Chadema kata 1
 
Mgombea wa chadema amepata kura 13850
mgombea wa ccm amepata kura 12824:israel:
 
Meatu ni kweli aisee. Jamaa wa Chadema kashinda kwa about 13,000 votes. CCM wamepoteza jimbo
 
na Radio One pia, wamesema kua msimamizi ametangaza.
 
Salum mbunge wa zamani kura 12620
Mmbunge wa chadema kashinda kwa kura 13950
 
Kwa mujibu wa taarifa za tume ya uchaguzi kama ifuatavyo;
Chadema 13,850
CCM 12,824
Kwahiyo Ubunge umechukuliwa na Chadema:israel:
 
Hata Fatma Alasi nyangasa wa Radio one na ITV nae ameconfirm matokea ya Meatu kuwa CHADEMA wamechukua jimbo
 
Official results ni kuwa chadema wametwaa jimbo la meatu kwa kumwangusha mbunge aliyekuwa anatetea kiti chake.
Chadema, meshaki Opulukwa- 13850
CCM- Salum Hamis, 12824

Udiwani-
CCM- 11
UDP-kata 2
Chadema kata 1

Kura za rais vipi?
 
Itv imetangaza, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi meatu shinyanga
 
Mgombea ubunge wa CHADEMA katika jimbo la Meatu, Bw. Meshack Opurukwa amemsinda yule wa CCM Bw. Salum Hamis Salum kwa tofauti ya kura 1026. Hiyo imethibitishwa!

Stay tuned.......
 
Well done Meatu! Hongereni kwa sana!!:yield:
 
Jeremiah Meshack Opolukwa amekuwa lini Dr hebu acheni uzushi! Matokeo bado

Ukiangalia kwa makini wanaoleta haya matokeo hewa ni watu wapya, hawana hata post tatu!!!

Hali ya hewa imechafuliwa huku, wanataka kutuvunja moyo hawa!!! Tunao tu mkuu!!!
 
CHADEMA hatimae imehitibisha mbio za CCM za kupeleka tena mbunge Dodoma kupitia jimbo la Meatu. Ni hayo tu.
 
Hii inatia moyo. Kwa nini sehemu zingine hawatangazi?
 
Back
Top Bottom