Elections 2010 CONFIRMED: Dk Mbasa atangazwa mshindi Biharamulo Magharibi (CHADEMA)

Elections 2010 CONFIRMED: Dk Mbasa atangazwa mshindi Biharamulo Magharibi (CHADEMA)

muda mfupi msimamizi wa uchaguzi jimboni humo Bw Zuber Mbyana amemtangaza Dk Antony Mbasa wa CHADEMA kuwa mshindi kwa kupata kura 20828 dhidi ya 19843 za Oskar Mkasa wa CCM.

Pia habari kutoka jimbo la Bukoba Vijijini Bw Jasson Rweikiza(CCM) ametangazwa rasmi kwa kupata kura zaidi ya 57,000 dhidi ya kura pungufu ya 5500 za Alstides Ndibalema wa CHADEMA

Hii imetulia poa!
 
Ni aibu sikutegemea kama Lwakatare angeanguka bahati mbaya kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki na ile ambayo sisi Wahaya husema kuwa jirani yako kamwe hakuiti wewe kuwa ni Mwanaume/shujaa. Lakini watu wameshindwa kuangalia madhara ya misimamo hii ya kijinga na hivyo kuendeleza utawala wa CCM ambayo imeudidimiza sana mkoa huo.
Sisi m Imelamba garasha na imekula kwao
 
Back
Top Bottom