Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

Mimi sichagui ccm namchagua makufuli ndio atake nifanyia kazi maana naona majibu ya wengi eti tunataka kuingoa ccm hizo ni chuki za wa kaskazini sitaki kusikia mngeniambia tunataka kiongozi mahiri tena sio wasataafu chama chenu cha mtei kaeni nacho

MI wa kusini lkn ccm sitaki ht kusikia.

We huwezi kusema unamchagua magufuli ukiacha ccm ni uongo
 

Ndo uone jinsi gani wasivyo na akili ccm
 
Tafakuri: Hivi kwa mtu mwenye akili timamu na anayeona hali halisi ya nchi atafunga macho kweli kutochagua mabadiriko kisa eti Ray na Aunt? Both of them, hawana mchango wowote katika jamii na kuropoka kwao kunaonyesha jinsi walivyo na akili finyu. CCM inahaha kutaka kuchukua nchi kihasara kwani wanajuwa Ukawa ikikamata hii nchi watayataja madudu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…