Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

Momentum iko pale pale tena imeongezeka na sasa hivi kampeni chini kwa chini

Mnajiliwaza maana mmekaa na decided voters hamkai na undecided voters na akina mama. Mnavyowacheka na kupuuza akina Wema na Aunty Ezekiel mtazidi kupotea. Mnafikiri CCM wamekurupuka? Ni sehemu ya mkakati wao mkubwa.
Kuishinda CCM kunahitaji mikakati mathubuti, utashi mkubwa na input kubwa ya watu neutral na wenye upeo. Wale wachache walikuwepo wameondoka na mnawatukana. Sasa hata wale ambao hawajui siasa wanawaona hovyo.
Mwaka huu mmerudisha harakati za mabadiliko na ujuha wenu. Ngoja tuone kama Zitto ataweza kutupa dira hapo mbele wana mabadiliko wa kweli siyo nyie opportunists wa leo!
 
Angalao wanaakili kuliko wale waliocheza mziki na mheshimiwa na kupeana mkono na mgombea ndio ikawa bei yao.
 
Duuuh kwahiyo bilioni moja imetumika kuwanunua hao watu wawili tu! .
 
Momentum iko pale pale tena imeongezeka na sasa hivi kampeni chini kwa chini
Kubali tu kuwa mzee hawezi kutembea..ingawa mimi ni muamini wa Magufuli, lakini hili suala kumpelekesha Lowassa na kumdhalilisha linanisumbua sana...mnamlazimisha yule mzee ilimradi mpate mnachotaka...mnadiriki hata kusema "ni heri punda afe lakini mzigo ufike!!"...unyama huu unanikosesha usingizi uploadfromtaptalk1442387363615.jpeg
 
Mnajiliwaza maana mmekaa na decided voters hamkai na undecided voters na akina mama. Mnavyowacheka na kupuuza akina Wema na Aunty Ezekiel mtazidi kupotea. Mnafikiri CCM wamekurupuka? Ni sehemu ya mkakati wao mkubwa.
Kuishinda CCM kunahitaji mikakati mathubuti, utashi mkubwa na input kubwa ya watu neutral na wenye upeo. Wale wachache walikuwepo wameondoka na mnawatukana. Sasa hata wale ambao hawajui siasa wanawaona hovyo.
Mwaka huu mmerudisha harakati za mabadiliko na ujuha wenu. Ngoja tuone kama Zitto ataweza kutupa dira hapo mbele wana mabadiliko wa kweli siyo nyie opportunists wa leo!

wameshindwa kuwashawishi watu wanunue muvi zao ndio watamshawishi nani? hao ni wakupuuzwa tu hawana impact yoyote
 
Leo nimezungumza na waziri mmoja kijana sitomtaja jina maana anajua mi niko chama chake na mimi ni mchangiaji mzuri .

Ni kweli wamelipwa million 50 kila mmoja na ilo deal la ushawishi lilifanywa na Wema na Steve.

Lakini hiyo pesa si kujitoa tu Ukawa bali pia ni mkataba wa kuifanyia kampeni ccm pia.Si kutoka tu.

Kampeni zitakuwa kwenye mitandao ya kijamii,kwenye vyombo vya habari na majukwaa huo ndio mkataba ulivyo.

Na chanzo kinasema walivyotajiwa million 50 wala hawakutafakari mara 2 moja kwa moja walikubali maana wanasema sanaa nayo inazingua sasa sio kama alivyokuwa Kanumba walikuwa wanapata pesa na.mwamko ulikuwa mkubwa wa watu kununua kazi zao,sasa hivi watu eti wameacha kununua wanakodi vibandani na kubani.

Chanzo pia kinasema wamejaribu kumshawishi jackline lakin imeshindikana kabisa.

Ni hayo

Ndio watu wanasema hili chama kubwa lina mapesa lkn mpaka kuhonga na hawa wasanii itunge vzr story yako labda tutakubali.
 
....... maana wanasema sanaa nayo inazingua sasa sio kama alivyokuwa Kanumba walikuwa wanapata pesa na.mwamko ulikuwa mkubwa wa watu kununua kazi zao,sasa hivi watu eti wameacha kununua wanakodi vibandani na kubani.

Sanaa hailipi.....siasa ya uchaguzi ina ukomo...baada ya hapo?..........Ray kuwa shoga?
 
Hata jacklin nae ataenda tu, mbeke ya mkwanja ni shida mpaka uwe na lengo, niliskia kuwa kuna 150bilioni zimetengwa kwa ajili ya kusambalatisha ukawa kuna ukweli hapo jamani?
 
Kumbe kamanda haujuı hata bilioni 1 ni milioni ngapı?Dah, hawa ndiyo wafuası wa Luwasa.

Hahaaaa
Unategemea kumueleweshaje mtu kama huyo sasa hadi aelewa kuwa kauzwa bure.
 
Aunt atanunua nguo za kurekodia movie tu kwisha. hiyo amount sio lazima imalize nyumba unaweza ukaanza nayo lkn mwenzio hapo anachowaza ni jinsi gani atotokelezea
 
Back
Top Bottom