CONFIRMED: Israel Planning to Dislocate ALL 2.3 Million Palestinians from Gaza Strip so that it can be turned into a luxury beach front Resort

hata ningekuwa mimi, utaishije na jirani anayekurushia mawe kila siku hulali? si bora nimfukuzie mbali huko ili nikae kwa amani?
Hakuna kitu hicho that's a pretext, Kuna mafuta mengi hapo Gaza na fukwe zake na Kuna kampuni ya BG Group inayomilikiwa na vigogo wa Israel na marekani ndicho wanachotafuta. Watu tuache ushabiki bila kuwa well informed
 
Hakuna kitu hicho that's a pretext, Kuna mafuta mengi hapo Gaza na fukwe zake na Kuna kampuni ya BG Group inayomilikiwa na vigogo wa Israel na marekani ndicho wanachotafuta. Watu tuache ushabiki bila kuwa well informed
hivi kweli akili umetupa wapi ndugu,kwamba Israel inatafuta kupora mafuta ya gaza hapo, kwao wao ndio walianzisha vita? Hamas na Iran wameshaeleza wao walianzisha vita. na Iran leo kaonyesha kwamba alisaidia hamas kufanya vile in retaliation ya kuuliwa kamanda wao (yule aliyeuawa na marekani kipindi kile), ila wewe mnywa komoni huko kwa mchambawima, unaleta story za kwenye vijiwe vya kahawa hapa. unafikiri watu wote hawana akili kama wewe?
 
Maneno Ya Kujipa Moyo,kelele Za Chura Mtoni Tena Sio Chura Wa Mtoni Ni Wa Mtaroni
 
Kupora moja kwa moja kwa sasa ni ngumu, ila kukaliwa na wayahudi, hilo wameahidi na litafanikiwa. wanasema hawataruhusu tena utawala wa kipalestina uwepo pale kwasababu wakiruhusu huwa wanawaletea matatizo. kwahiyo pale patatawaliwa na Israel ama la, hapatakaliwa na mtu patakuwa bufferzone. jua kuwa hata westbank pamoja na kwamba ipo mikononi mwa wapalestina, ila hata kujenga nyumba unatakiwa kupata kibali kwenye serikali ya Israel, ama la wanakuja kuvunja.
 
1. Can you prove that they're Ashke Nazi..?

2. If they're not Jews so where are the Jews..?

3. And if so, for what reason should Ashke Nazi impersonate Jews..?

4. Which God is that who will destroy his people from his "Chosen Nation..?"

5. And if so, then surely that God won't be the real "God Jehovah" but a fictious one and for that matter he is dooming to fail miserably.
 
yaani kwa miaka 70 wamekuwa wakiomba allah awateketeza wayahudi, lakini allah hawaweza. ni kama kipindi cha Eliya Mtishbi, waliomba kwelikweli kwa mungu Baal ashushe moto, wakajichinjachinja wapi, hakutokea. kuabudu mingu ya uongo shida sana.
 
Go and read the Bible,maswali yako yote yatajibiwa.The Bible says,"watu wangu WANAPOTEA kwa kukosa MAARIFA.Ni wazi wewe maarifa huna,read the Bible, utapata maarifa.
 

Acha hizi nadharia kuandika insha za kinafiki, hao Wapalestina kinacho waponza ni chuki zao za kidini, waliimba alla akbar wakati watoto wa Wayahudi wanachinjwa, leo kibao kimegeuzwa ndio mlivyo wanafiki mnajaza insha humu.
Hii hapa agano ya HAMAS inayo ongozwa na chuki za misingi ya dini yao ndio inawaponza

 
Sina haja ya kubishana na wewe,kwa heri,you are already a zombie.You are infact suffering from acute Mass Formation Psychosis

 

Wewe ndiye zombi lililokubuhu kushikiliwa akili, na mtakufa sana hadi muache huu upumbavu

 
Go and read the Bible,maswali yako yote yatajibiwa.The Bible says,"watu wangu WANAPOTEA kwa kukosa MAARIFA.Ni wazi wewe maarifa huna,read the Bible, utapata maarifa.
Kwa taarifa yako wewe ndio umekosa maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…