Kuna signature ya mdau mmoja hapa inasomeka...KAMA HUKUTAKATA MTONI, UTAWEZAJE KUTAKATA BAFUNI? CCM wamefulia, wameshindwa kutakata mtoni, bafuni wataweza>?
Hongera Mnyika.Habari za uhakika kutoka loyola kituo cha kutangazia matokeo ya ubungo. John Mnyika ndiye mshindi na kwa sasa ni Mbunge mteule wa jimbo la ubungo.
CCM ngapi? ili tujue why walichelewa kutangaza