Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Hongera sana John Mnyika, hatimaye yametimia japo walijitahidi kuchakachua ila imeshindikana
 
...Kikooosi! Nyumaaaazz, GEUKA! Kwa mwendo wa haraka...MBELEEEEEZZ, TEMBEA....Kuelekea Kawe!!!
 
Kuna signature ya mdau mmoja hapa inasomeka...KAMA HUKUTAKATA MTONI, UTAWEZAJE KUTAKATA BAFUNI? CCM wamefulia, wameshindwa kutakata mtoni, bafuni wataweza>?
 
invisible thanxs bana uko pande zipi hata mm nipo hapahapa, uwe unaweka na thread zangu unanibania sana.
 
Hongera saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana saaaaaaaaaaaaaaana Mnyika,
nendeni Mkapate supu kwanza kisha tukashinikize Kawe na Kinondoni
 
Hongera sana MNYIKA, nimefurahi hadi machozi yamenitoka.
Chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.................................
 
HATIMAYE WAMEACHIA, MAANA 2005 WALITUIBIA:smile-big::smile-big::smile-big:
 
CCM wamenyolewa mpaka vipele, huko kwenye urais kwa safari hii hatuna haja nako ila kwa wabunge tumepata wa kutosha kidogo, naamini bunge la safari hii halitakuwa la kuburuzana maana vichwa vimeingia bungeni sasa. Safi CHADEMA mnatisha, bado 2015 lazima CCM wapotee kabisa.
 
Welldone Mnyika, nenda mjengoni utengeneze sheria za nchi hii....cha kwanza mkazanie tuwe na Katiba mpya
 
Hongera mwanangu eeeeeeeeeh, hongera nami nikuhongere hongera, naona furaha naona furaha, tumbo la mamayo limekuzaa mwanangu, go go John Mnyika!!
 
Mwendoooooooooooooooo KAWE, SEGEREA mbele tembeeeeeeeaaaaaaa
 
...safi sana ....naomba unisaidie na kibaha mjini...maana nasikia kuna mabadiliko.....:smile-big:
 
Mheshimiwa Mnyika

hongera sana kwa ushindi huu sisi wananchi tunatarajia uadilifu na maslahi ya taifa kwanza kutoka kwako. Hongera sana.

Mungu akubariki na atubariki watanzania tuwe na utayari wa mabadiliko ....
 
Back
Top Bottom