Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
KURA:
CHADEMA - 66,000+
CCM - 50,000+
CUF -12,000+
SORRY: Mnyika katangazwa mshindi lakini hata haisikiki tena, watu wanashangilia SANA kiasi sisikii. Tutaziweka figures sawa baada ya kuzipata na kuzinakili
Malaria Sugu yu wapi jamani
Hii inamaanisha hata CUF wangeungana na CCM, bado kijana angewahundumula!:doh::doh::doh:
Ngoja ntafute supu sasa....dah afadhali hewa inaingia kidogo sasa.....
Anasema anawaahidi vijana waliomsaidia kwa kuacha hata kazi zao na kumuunga mkono, anasema wajiamini nao wanaweza kuwa kiongozi kama yeye alivyobahatika.