Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Mnyika kapata kura, 66, 000+

Hawa Ng;umbi kura 50544

Mtatiro...12,000+

Pamoja na kuchakachua kote huko lakini wapi CHADEMA TUNAPANDA, TUNAPANDA MAZIMA, CCM INASHUKA INASHUKA MAZIMA
 
Du! kila nikitaka kuchangi najikuta naachwa.
Tread ina spidi si mchezo.
 
Nafikiri FMES hayupo nchini la siyo angekuwa anazileta za jikoni!!
Yuko hapa hapa jamvini bila ku logon. Mimi nimeshamuona lakini ni vigumu sana akajitokeza! Naona anachungulia chungulia na kutoka!
 
wamezichakachua weeee wakashindwa dogo kachukukua 66742 dhidi ya yule mama wa ccm 50544
 
Maandamano.jpg
 
Back
Top Bottom