Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

kudadadadeki mnyika kachukau kwa 66k
 
....And the Winner iiiisssss.........JOHN MNYIKAAAAAAH!!!
 
Mnyika kapata kura, 66, 000+

Hawa Ng;umbi kura 50544

Mtatiro...12,000+
 
Najaribu kukimbiza sredi naona inaniacha kwa spidi ya ajabu sijui usain bolt yumo naye humu anaperuzi hii sredi
 
CCM ngapi? ili tujue why walichelewa kutangaza
 



Hatimaye John Mnyika ametangazwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo. Matokeo yalicheleweshwa kutangazwa kupita kiasi bila sababu ya msingi. Wadau wa mgombea huyu walikesha juzi na jana usiku kuhakikisha kura hazichakachuliwi hasa ukizingatia kulikuwa na madai ya kufanyika kwa kitendo hicho katika uchaguzi wa 2005. Juhudi zao zimezaa matunda 2010.
 
Hongera sana Mnyika,
japo walikucheleweshea haki yako na waTz kwa ujumla.
 
Hapo ninakubaliana na wewe mkuu...

Ili matokeo yatangazwe inabidi kwanza akamatwe mtu mmoja akatwe kichwa hadharani ili kiravo aone hakuna masihara, other ways utasikia matokeo yameahirishwa na uchaguzi unarudiwa tarehe 17 oct 2010
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mnyika hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee: Wamebana wameachia, ccm aibu yao..wamebana wameachia...ccm aibu yao..wamena wameachia...ccm aibu yao. Hatimaye john mnyika ndiye mbunge wa jimbo la ubungo.
 
Back
Top Bottom