Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hongera Mnyika, Hongera CDM, Peoples power.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah,,taarifa za Star Tv ni kwamba Tume imeahirisha hadi saa tano kamili
Mkuu Invisible ni kweli hii kitu? dah:doh::doh:
15 minutes to stoppage time
dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
kura:
chadema -
ccm -
cuf -
sorry: mnyika katangazwa mshindi lakini hata haisikiki tena, watu wanashangilia sana kiasi sisikii. Tutaziweka figures sawa baada ya kuzipata na kuzinakili
Confirmed!
bwahahahaha invisible utakuwa kada wa kijani mbona unaandika kama mjengwa...SORRY: Mnyika katangazwa mshindi lakini hata haisikiki tena, watu wanashangilia SANA kiasi sisikii. Tutaziweka figures sawa baada ya kuzipata na kuzinakili
Invi haaminiki ngoja tusubiri dataz za FMES