Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Hii presha niliipata wakati wanatanagaza matokeo ya obama
 
INVISIBLE - Please nimesahau vidonge vyangu vya kushusha presha !!!! tell me now before sija....:bowl:
 
kwani uchaguzi uliopita walitangazaje ubungo? mbona safari hii tabu
 
Invisible ila wasihini vijana na wote wanasubiri hapo wawe watulivu hizo ni njama za CCM mkianza vurugu tuuu wanamtangaza HAWA, so be confident, polite and keep waiting pleaseeee
 
Vipi jamani bado tu, wengine kazi zote zimesimama tunasubiri matokeo
 
Nimethibitishiwa na Wakala kwamba Mnyika ni Mbunge
 
Hili Jimbo la Chadema sijui kwa nini wanachelewesha matokeo:bowl::bowl::bowl:
 
Back
Top Bottom