babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
KURA:
CHADEMA -
CCM -
CUF -
Kaka hivi sasa ni saa nne na nusu, na uliahidi kutupa matokeo ndani ya dakika kumi kuanzia saa mbili na nusu asubuhi. Sasa vipi kuna nini hadi sasa????. Habari zilizopo ni kuwa Delaying tactic inatumika kwa lengo la makusudi ili kuwafanya Chadema waanzishe fujo, na polisi wapanze mvua ya mabomu na uchaguzi ufutwe. Kiasi naanza kuyaamini haya maneno!!!