Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa

kura:

chadema -
ccm -
cuf -

sorry: mnyika katangazwa mshindi lakini hata haisikiki tena, watu wanashangilia sana kiasi sisikii. Tutaziweka figures sawa baada ya kuzipata na kuzinakili

tahadhari isje kuwa kama shinyanga mjini chadema kutangazwa mshindi na walipoondoka ndipo ccm wakatangazwa na kukabidhiwa hati za kuwasilisha bungeni
 
powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 
Tayari kimeshaeleweka.....Ni John Mnyiiiiiikaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!:hippie::hippie::hippie::hippie:
 
Duh! Hali ilikuwa tete kweli Invisible. Nimegundua either Ubungo ni jimbo la muhimu sana au Mnyika anatisha. Hongera sana mpiganaji. Hawa watu sio wa kuwaamini kabisa mpka dakika ya mwisho wanapotangaza
 
Hii naona itaenda kwenye penalties . Dakika za nyongeza zinaishia
 
SORRY: Mnyika katangazwa mshindi lakini hata haisikiki tena, watu wanashangilia SANA kiasi sisikii. Tutaziweka figures sawa baada ya kuzipata na kuzinakili
bwahahahaha invisible utakuwa kada wa kijani mbona unaandika kama mjengwa...
 
Waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

Peoples power
 
Bora niende zangu kuzunguka kidogo, nikirudi labda nitakuwa nimejiliwaza kidogo, maana hapa presha inapanda presha inashuka Loo!
 
Ushindi wa Mnyika ni pigo kubwa kwa CCM kwanza kichwa cha mtu mwenyewe pili umuhimu wa jimbo la ubungo kwa tanzania.
 
HAPATOSHI KABISA KWENYE HII SREDI!........
habarr yangu braza kingi baaanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Invissible...Tafadhali hamishia makazi jimbo la Kawe sasa.

Kura yangu haiwezi kwenda bure.....Mkoloni leo atanisamehe!!!
 
Back
Top Bottom