Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

Jimbo hilo tuliliweka kwenye orodha ya majimbo ya chadema hata kama matokeo yalikuwa bado hayajatangazwa.
 
inguluvi itange mweeee
bado zingine tutakutana nao mahakamani!!

Naona ndugu zako kule hawataki kabisa mabadiliko hata kikigombea kivuli chama cha kijani wao wanakipitisha.

Wanasema ndemngayasida
 
weraaaa.....busa na mangure kwa kwenda mbele leo

Yani na zile ngoma. Tsiri tsirii hamaa ree🙂)) au mangure hayaa, mangure hayaa!!
Preta nina wasiwasi, wewe ni wa kilimatembo, ha ha ha
 
Yani na zile ngoma. Tsiri tsirii hamaa ree🙂)) au mangure hayaa, mangure hayaa!!
Preta nina wasiwasi, wewe ni wa kilimatembo, ha ha ha
The Following User Says Thank You to BelindaJacob For This Useful Post:

Baba Gift (Today)​
 
Hongera Paster najua utaendeleza ya Mheshimiwa Dr Slaa
 
Yani na zile ngoma. Tsiri tsirii hamaa ree🙂)) au mangure hayaa, mangure hayaa!!
Preta nina wasiwasi, wewe ni wa kilimatembo, ha ha ha

usiniambie unafahamiana na shekhe Yahya...hapa nilipo natokea mto wa mbu, nipitie hapo nyumbani kilimatembo nibadili nguo maana nitakesha huko, then nisubiri Munuo au Kuringe hapa barabarani niwahi Karatu

Yani na zile ngoma. Tsiri tsirii hamaa ree🙂)) au mangure hayaa, mangure hayaa!!
Preta nina wasiwasi, wewe ni wa kilimatembo, ha ha ha

Oryo Irqwar doren bura mawak mungu thufisak asma ccm agaslaxaan. ( wairaqw wenzangu acheni pombe kwa kuiangusha ccm)
 
Karatu wimbo unaotamba leo ni huu:

Tsiri tsiri hamare,
Tsirir gwanda, hamare,
Gwandu kayto, hamare,
Nani duxi, hamare,
Nana halmo, hamare,
Halmo Loa. Hamare!
 
Wera Chadema weraaaaaaaaaa Wera Pastor weraaaaaa Honera wana Karatu
 
Back
Top Bottom