pole sana kiranga, nisamehe, naona nimekukwaza! Sorry pal.
@malafyale, nishawashukuru wananzega kwa kuniamini, and have done so several times and will do so in every ward!
To set records straight, 'bahati' ni ile niliyoipata kwa kuteuliwa na chama changu baada ya kuwa 2nd runner up kwenye primaries - to me that seems like pure luck plus the fact that chama kiliamini nitakipa ushindi kwa kuwa nina sifa na wasifu stahiki wa kuwa mb, kushindwa kwenye kura za maoni is a function of so many things, sipendi kusema hapa sababu hizo!
Wengi ndani na nje ya ccm, they thought kigwangalla hauziki na atashindwa kwenye general election, lakini mi na wanaccm wenzangu persevered and fought hard to win the election! Hii sasa haikuwa 'bahati' ni ushindi tulioutafuta kwa sera nzuri za chama na confidence ya uwezo wa kufuatlia na kusimamia utekelezaji, ya wagombea wa ccm, hususan mbunge wao! Ikafika mahali wakaamini, wakanipa kura nyingi!