EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
hongera kwa kuchaguliwa nafasi ya kuwakilisha wananchi bungeni
kutokana na nafasi uliyo nayo, ningekuomba uanze kuji upgrade kwenye matumizi ya lugha pamoja na uandishi huku ukiendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo lako.
** ni nyota ya jaha sio ndoto ya jaha.
Mkuu sidhani kama ametumia lugha mbaya. Yaani kwa vile amekuwa mheshimiwa basi abadilishe kabisa na lugha? Halafu akibadili lugha si ndio mtaanza oh tokea uwe mheshimiwa umebadilisha mpaka na lugha! I believe people should be who they are regardless of their change of status or class.