Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda

Makonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
 
Taifa anashinda... Aisee sijui itakuwaje. Misifa kama yote? Naipenda Tanzania.
 
Kama Makonda kashiriki vyema kupanga timu, sina wasiwasi naye namuamini leo tunaibuka kidedea.
 
Kwa matokeo ya Algeria vs Senegal dakika chache zilizopita, tukiifunga Kenya dakika chache zijazo, naiona nafasi ya Stars kufuzu hatua inayofuata japo kama best loser
 
Makonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Duuu aisee sawa tuonee
 
Kuwa mzalendo watu kama nyie hamfai
Kwasababu ya BASHITE natangaza tufungwe sio chini ya goli 3 ili tujifunze.. Sisi badala ya kupeleka kina maxime, peter tino, leodgar tenga tumempeleka huyo ziro brain, nasema tena tufungwe
 
Nani kakudanganya kuwa huyo ni mdada?

Ha ha haaaaaaa
Embu jitizame ulivyo unanionea wivu kupewa heshima kwa kuitwa Dada.. unataka aniite naniiteje!!!!.. sasa namashaka nawe labda niwe unayejiita dume kumbe jike mtupu.
 
Makonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Engineeeer,Esopooo
 
Mavi ya Kuku
 
Wahi posho yako Lumumba
 
Alijua kitachotokea ikabdi aanze kuzuga mapema, hapo tungeshinda ingekuwa ni balaa
 
Hahahaha hahahaha mkuuu wamepigwa tena bwanaaaaaa uuuuuuuuuuuuh
Kwasababu ya BASHITE natangaza tufungwe sio chini ya goli 3 ili tujifunze.. Sisi badala ya kupeleka kina maxime, peter tino, leodgar tenga tumempeleka huyo ziro brain, nasema tena tufungwe
 
Makonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Kweli jibu tumelipata
 
Back
Top Bottom