Daa mpira wetu umetawaliwa na siasa sasa
IshajifiaCECAFA IKO WAPI
Duuu aisee sawa tuoneeMakonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Ni bahati tu Uganda walituachiaAngekula hizo rushwa wala tusingefuzu kucheza
Nani kakudanganya kuwa huyo ni mdada?
HahahahaAmkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
Engineeeer,EsopoooMakonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Mavi ya KukuMakonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Wahi posho yako LumumbaMakonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa
juhudi zake tumeenda afkon na kwa juhudi zake Kenya anakufa leo, tunapata ushindi wa kishindo leo. "Chizi atauliza kwani makonda anacheza namba ngapi taifa stars" jibu utalipata dk 90 baada ya saa5:00
Kwasababu ya BASHITE natangaza tufungwe sio chini ya goli 3 ili tujifunze.. Sisi badala ya kupeleka kina maxime, peter tino, leodgar tenga tumempeleka huyo ziro brain, nasema tena tufungwe
Kweli jibu tumelipataMakonda kaenda kufanya kazi iliyowashinda watanzania wengi, kwa