Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 Jun 28, 2019 #81 baba swalehe said: Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha Click to expand... Ilani imetekelezwa
baba swalehe said: Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha Click to expand... Ilani imetekelezwa
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,918 Jun 28, 2019 #82 duhh na ikawa 3-2 , hivi wanatua lini ama kwanza wanenda kutambika kwenye mapyramid?
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Jun 28, 2019 #83 nkuwi said: Hahahaha hahahaha mkuuu wamepigwa tena bwanaaaaaa uuuuuuuuuuuuh Click to expand... Hakika Mungu ni mkuu hatkmaye kasikiliza dua yangu
nkuwi said: Hahahaha hahahaha mkuuu wamepigwa tena bwanaaaaaa uuuuuuuuuuuuh Click to expand... Hakika Mungu ni mkuu hatkmaye kasikiliza dua yangu
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Jun 28, 2019 #84 Kama wana wa Israel "TAIFA TEULE LA MUNGU" waliteseka misri, tanzania sisi ni nani tukapate ushindi misri.
Kama wana wa Israel "TAIFA TEULE LA MUNGU" waliteseka misri, tanzania sisi ni nani tukapate ushindi misri.