Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
Lema tayari mbunge, ndo tunashangilia ushindi hapa. Peopleeeeeeeeeeeeee's Power.
Acha use.........e usitafute watu tule ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema tayari mbunge, ndo tunashangilia ushindi hapa. Peopleeeeeeeeeeeeee's Power.
Jamani ni kweli Lema kashinda Arusha nimewasiliana na mtu from tukio now.... Jamani tumwombee Batilda asije akajifungua kachanga chake kabla ya muda kufika...
Kwa nini wanakuwa wagumu kupokea matokeo hao ccm?Mimi kuanzia saa kumi nimejulishwa kuwa matokeo Msimamizi wa uchaguzi alikuwa kamaliza kazi yake ila CCM walikuwa wanamzuia asitoke nje na kuyatamka................kura zimejumlishwa mara kadhaa lakini CCM sasa wanataka maboksi yafunguliwe na hilo Msimamizi hana mamlaka ila kwa kibali cha Mahakama tu...............................Lowasaa na JK sijui wanataka kuipeleka wapi nchi hii.huku wanahubiri amani huku wanajenga mazingira ya kuivunja amani hiyo wao wenyewe...........................
Kweli! Chadema wanastahiliSource star tv,
jumla
chadema elfu 56 na
ccm elfu 35 na