Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Lema mwenyewe mnayetaka kumpigania ni muhuni na tapeli tu. Kama tungefanya intavyuu kati ya Buriani na Lema, kila mtu mwenye akili timamu angemchagua Dr. Buriani. This is where democracy got it wrong. Ideological na ushabiki gets in commonsense.

Yule profesa wa Ulanga (chadema), hata mimi CCM damu, lakini namkubali kuingia bungeni koz it will make it better, kuliko hata mdau wa CCM. Sasa huyu muhuni Lema, anatuwekea jiji letu la bata (A-town) katika roho juu juu. Kazi yenyewe ya ubunge he is unqualified.

mKUU UNACHOONGEA NI KWELI.
WAKATI MWINGINE TUWEKE USHABIKI PEMBENI.

NILIWAHI KUONA MDAHALO KUPITIA TBC1,,SUGU ALIKUA ANAONGEA KAMA MTOTO WA DARASA LA PILI - B.
 
Hatimaye naona umati wote wa Wanachadema sasa 5.55 pm wanashangilia ushindi wa Mbunge wao Godbless Lema
 
Naomba tukae mkao wa kiulinzi zaidi ya mkao wa sherehe,maana bado shetani na jeshi lake wanatafuta wasaa au opportunity!watu wasipokomaa kama arusha itakula kwetu .si mlimwona mzee wa whisky -aliyekuwa mmiliki wa mgodi wa kiwira- alivyojikunja jumamosi?ukiombewa kura na yule imekula kwako,yule ni mbakaji,so jk angejua angemtafuta mtu mwingine.guys watch and pray,msiingie majaribuni,roho ni dradhi lakini mwili ni dhaifu.
Sasa mboni zanzibar hatupati data?
 
pamoja na mbwembwe zote za Salma bado arusha imeenda upinzani? Hakika TZ will never be the same after this general election! Hurrah!!!!
 
Safi sana wameruka mwisho wamekubali.
 
ni kweli Mrema ameshinda Arusha Star TV imetangaza dakika tano zilizopita ila kulikuwa na kelele sana. Mrema alikuwapo na akatoa hotuba fupi kuwashukuru waliompigia kura.

hiyo ndiyo demokrasia

Mrema?
 
Sasa 56,000 VS 35,000 utachakachua unaanzia wapi!?

Kama Masha kala kwenzi la nguvu Nyamagana, itakuwa haina jinsi.

Sehemu zenye ''utata'' ni kama Kigoma MJINI ambako inasemwa kuna tofauti ya kura 450 tu. Ila sijui huu utata unakujaje maana utaratibu wetu ni mwenye kura nyingi ndie mshindi - full stop!
 
Arusha imelipuka kwa furaha kinachosikika sasa ni mayowe ya furaha na honi za magari.Huyu mama aliwahi kutamka ktk moja ya kampeni zake kuwa watu wa Arusha mtake msitake mi ndio mbunge wenu" kiko wapi sasa?
 
Katika hotuba yake ya kuwashukuru wananchi alisema " Wao wana pesa, sisi tuna Mungu"
 
Aisee nilikuwepo wakati wanamtangaza mbunge wetu kulikuwa
na mpango wa kifisadi wa kupika matokeo lakini baada msimamizi
kuhisi nguvu ya umma wa wana-arusha hatimaye ametangaza
matokeo kwa mbwembwe sana yaani utadhani nae si mtandao
wa buriani.Anyway uchaguzi umekwisha na mimi nawashukuru
sana wananchi wa arusha kwa mchango wao katika hili.
 
Back
Top Bottom