KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.
Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
Umeconfirm kutoka kwa nani?
Hayo nimawazo potofu, msichana
kama anaumri juu ya miaka 18 anauwezo wa kujua mema na mabaya.
Kwahiyo anaweza kuishi peke yake .
Na huyu ni bora sana kwani anakuwa anajifunza pia maisha ya kijamii kuliko yule anayekaa kwa baba na mama yake siku zote.
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.
Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
what is ur opinion then?mmh!!! i dont think soo my dear....
Kuna wengine wanapanga ili kuishi karibu na ofisi zao za kazi.
Acha uzumbukuku ndugu mtoa mada..
Utakaa kwenu hadi lini/
uliyeconfirm ndio unajibu lakeMsichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.
Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
Kwanini mnafanyiwa send off??? Unafanyiwa send off kwasababu unatoka nyumbani kwenu.
Anayepanga wakati anaishi mji mmoja na wazazi anatafuta uhuru, Ukioa hapo umeumia.
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.
Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
Ngoja basi nirudishe virago nyangu nyumbani. Nataka kuwa wife material.