Confirmed: Msichana Aliyepanga Nyumba

Confirmed: Msichana Aliyepanga Nyumba

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
 
sasa mbona ushajijibu?ujiulie kwanza y kaamua kuhama?
bt stl sion km kuna tabu since anajifunza kujitegemea..n kuwa nt wife material kunasababishwa na mambo ming nt KWA KUHAMA HM...
 
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??

Umeconfirm kutoka kwa nani?
Hayo nimawazo potofu, msichana
kama anaumri juu ya miaka 18 anauwezo wa kujua mema na mabaya.
Kwahiyo anaweza kuishi peke yake .

Na huyu ni bora sana kwani anakuwa anajifunza pia maisha ya kijamii kuliko yule anayekaa kwa baba na mama yake siku zote.
 
mmh!!! i dont think soo my dear....
Umeconfirm kutoka kwa nani?
Hayo nimawazo potofu, msichana
kama anaumri juu ya miaka 18 anauwezo wa kujua mema na mabaya.
Kwahiyo anaweza kuishi peke yake .

Na huyu ni bora sana kwani anakuwa anajifunza pia maisha ya kijamii kuliko yule anayekaa kwa baba na mama yake siku zote.
 
Kwenye maisha huwezi uka-generalize.... kwamba sababu mtu kafanya a, b, .... basi ni c, d, e. Life haiko hivyo kila kitu inabidi kichukuliwe separate. Life is not Black or White, kuna some Gray Areas.

Maisha yangekuwa hivyo... basi ingekuwa poa na matatizo mengi yasingekuwepo
 
Dah!Kweli kazi ipo!Kwahiyo kumbe kuzeekea kwa wazee ndio kutaleta ndoa ehh...na je hiyo ndoa isipokuja aishi hapo mpaka lini??Acha mawazo potofu wewe...mtu akipanga maana yake anapenda kujitegemea sijui kwanini wewe unaona hilo ni tatizo!!Nwyz kila mtu na mawazo yake..mengine mgando, mengine ya maana na hayo ni yako so baki nayo ila usiyasambaze kwa wengine!
 
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??

Tupe details na jinsi wewe ulivyo fanya huo utafiti wako na watu wangapi uliwastudi...
 
Duh,naheshimu mawazo yako lakini umelitumia neno CONFIRMED vibaya,Hivi Mungu wangu wanaume wakiangalia na hili tutaolewa kweli?there should be standards za kumu ideentify wife material na asiye si kila kitu tu ukifukiria then unaenda nacho and please usi-generalize coz zipo sababu nyingi zinazotuhamisha home.:redfaces:
 
Kuna wengine wanapanga ili kuishi karibu na ofisi zao za kazi.
 
Acha uzumbukuku ndugu mtoa mada..
Utakaa kwenu hadi lini/
 
Wife Material??????? Sio wife material kwa sababu ana uwezo wa kujitegemea mwenyewe au, kwa sababu haishi huko kwa baba na mama/walezi.
Au sababu gani hasa, ya msingi???
 
Kwanini mnafanyiwa send off??? Unafanyiwa send off kwasababu unatoka nyumbani kwenu.

Anayepanga wakati anaishi mji mmoja na wazazi anatafuta uhuru, Ukioa hapo umeumia.
 
Hata baibo inasema hivi kwa mwanaume na sio mwanamke.

Mwanzo.2:24 anasema, "Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili moja".
 
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
uliyeconfirm ndio unajibu lake
 
Kwanini mnafanyiwa send off??? Unafanyiwa send off kwasababu unatoka nyumbani kwenu.

Anayepanga wakati anaishi mji mmoja na wazazi anatafuta uhuru, Ukioa hapo umeumia.

Ngoja basi nirudishe virago nyangu nyumbani. Nataka kuwa wife material.
 
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??

Mmhh huu utafiti wako umeufanyia wapi mpaka uka-confirm hilo?
 
Back
Top Bottom