Elections 2010 CONFIRMED: Mwakyembe arudi kwa kishindo

Elections 2010 CONFIRMED: Mwakyembe arudi kwa kishindo

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Amepata kura zaidi ya 40,000 wakati mgombea wa Chadema kapata kama kura 2000 hivi.
 
Well i expected this, sijui this time what new thing does he has?
 
Nawapongeza wananchi wa Kyela kwa sauti yao isiyo na shaka, ni ushindi kwa mbunge makini.
 
Back
Top Bottom